Mdada unaweza kwenda dukani kununua kondomu?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,716
Mambo vipi wadau?

Nliwamiss sana [emoji7] baada ya kula BAN la maana la mwezi mzima[emoji287]

Mfano umeenda kukutana na mpenzi wako mpya ambaye ndo kwanza amekualika mkutane faragha na unahisi huenda siku isiishe salama bila kugegedana unaweza kuwa na ujasiri wa kwenda dukani na kununua zana ili kujilinda au ndo utaenda ivoivo liwalo na liwe Unamuachia yeye ndo atajua la kufanya incase miili ikihitajiana???

Karibuni

FB_IMG_1564596501785.jpeg
 
Demiss mwanamke maarufu na mwerevu kuliko wote JF tusaidie kujibu swali hili!
 
Mambo vipi wadau?

Nliwamiss sana [emoji7] baada ya kula BAN la maana la mwezi mzima[emoji287]

Mfano umeenda kukutana na mpenzi wako mpya ambaye ndo kwanza amekualika mkutane faragha na unahisi huenda siku isiishe salama bila kugegedana unaweza kuwa na ujasiri wa kwenda dukani na kununua zana ili kujilinda au ndo utaenda ivoivo liwalo na liwe Unamuachia yeye ndo atajua la kufanya incase miili ikihitajiana???

Karibuni

View attachment 1168723
Hapana ila nitamtahadharisha anunue kama hanunui ananyimwa .
 
M nilvomwoga wa ngoma kondomu nanunua mwenyewe afu s chini ya elfu tano
 
Mambo vipi wadau?

Nliwamiss sana [emoji7] baada ya kula BAN la maana la mwezi mzima[emoji287]

Mfano umeenda kukutana na mpenzi wako mpya ambaye ndo kwanza amekualika mkutane faragha na unahisi huenda siku isiishe salama bila kugegedana unaweza kuwa na ujasiri wa kwenda dukani na kununua zana ili kujilinda au ndo utaenda ivoivo liwalo na liwe Unamuachia yeye ndo atajua la kufanya incase miili ikihitajiana???

Karibuni

View attachment 1168723
Wa ckuiz wanajipanga maana kunatokea mechi za ugenini za bila taarifa
 
Ulfanyeje hadi ukala ban
Aisee mod alyehusika na ban last month kapiga sana ban watu
Huyo mod alifanya kama kukomoa, sijui alipata tetesi kuwa atavuliwa cheo, kwahiyo kafanya kutembeza Ban kama dawa.
Wapo waliopata za siku 3, wiki, wiki mbili, mwezi, na Wengine hawajajua zitamalizika lini!
teh teh!
 
Yaan watu wamekula ban aisee 😀😅😅😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom