Nimetoka kuangalia mpira nimekuta mke kafunga milango, kaniambia nirudi nilipokuwa...

Nina Mke na mtoto we wa kike. Jana nimetoka kucheki mpira wa Arsenal vs Watford . Narudi namkuta wife kashafunga mlango ananiambia rudi huko huko mbona unanijia usiku. Nikarudi zangu kulala kwa mshkaj wangu. Mpaka sasa nipo kitaa. Hajaniulizia hata nimelala wapi, Nahisi Kama hanipendi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzako tunalilia bahati kama hiyo, maana unakwenda kubeba totoz ya ukweli unakwenda kulala hotel, sipendagi ujinga mimi.
 
Nina Mke na mtoto we wa kike. Jana nimetoka kucheki mpira wa Arsenal vs Watford . Narudi namkuta wife kashafunga mlango ananiambia rudi huko huko mbona unanijia usiku. Nikarudi zangu kulala kwa mshkaj wangu. Mpaka sasa nipo kitaa. Hajaniulizia hata nimelala wapi, Nahisi Kama hanipendi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inadhihirisha hapo nyumbani kwako wewe ndie mke na mkeo ndio mume na mamlaka.
 
Nina Mke na mtoto we wa kike. Jana nimetoka kucheki mpira wa Arsenal vs Watford . Narudi namkuta wife kashafunga mlango ananiambia rudi huko huko mbona unanijia usiku. Nikarudi zangu kulala kwa mshkaj wangu. Mpaka sasa nipo kitaa. Hajaniulizia hata nimelala wapi, Nahisi Kama hanipendi
Sent using Jamii Forums mobile app

Aki kuuliza mwambie ulilala kwangu 🏃
 
Nina Mke na mtoto we wa kike. Jana nimetoka kucheki mpira wa Arsenal vs Watford . Narudi namkuta wife kashafunga mlango ananiambia rudi huko huko mbona unanijia usiku. Nikarudi zangu kulala kwa mshkaj wangu. Mpaka sasa nipo kitaa. Hajaniulizia hata nimelala wapi, Nahisi Kama hanipendi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa iyo mpaka sasa bado uko ndotoni au ni vip labda maana yawezekana bado unaota!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina Mke na mtoto we wa kike. Jana nimetoka kucheki mpira wa Arsenal vs Watford . Narudi namkuta wife kashafunga mlango ananiambia rudi huko huko mbona unanijia usiku. Nikarudi zangu kulala kwa mshkaj wangu. Mpaka sasa nipo kitaa. Hajaniulizia hata nimelala wapi, Nahisi Kama hanipendi

Sent using Jamii Forums mobile app
FALA mkubwa wewe na ndoa zenu za facebook. Badala ya kumtawala mke anakutawala wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom