Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Utashangaa na itakushtaajabisha lakini ndio yametokea. Huyu brother mke wake ni mtu wa Tanga ,na yeye ni mtu wa Kaskazini,ila maisha yake ni Darslam. Ni kipindi kirefu tangu alivyo oa,hakufika...
5 Reactions
145 Replies
24K Views
Mbio zangu zote ni kamtafuta Moo tu. Mana hisabu zangu zipo kwenye Bilioni moja tu. Mtoto kashaniambia nikizikamata yeye yupo tayari namie kivovote.
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari za asubuhi. Nimekaa zangu hapa nimejinywea chai yangu na mihogo /malala chini/ mato.....mba aridhi. Basi baada ya kushiba ipasavyo, kuna kawazo kakanijia hapa kichwani mwangu nikajiuliza...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Salaam wana Jf Mimi ni kijana umri wangu miaka 25, Nipo katika hitaji la mwanamke ambaye tutaianza pamoja safari ya mahusiano kisha ndoa hapo baadaye... _Awe muislamu _ Awe na miaka kati ya 21...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za Siku nyingi hapa Jf Nimepotea kwa muda mrefu kiasi kwa sababu ya majukumu na kakala za maisha ya hapa jijini, lakini kwa muda wote huo takribani miezi 8 mpaka 10 nimefanikiwa kutoka na...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wadau habari zenu,kwa kweli nimeishi na familia mbalimbali hadi umri huu nilipofikia kitu ambacho nimegundua ndoa nyingi wanandoa wanavumilana kwa ajili ya kulea watoto vinginevyo rate ya watu...
63 Reactions
301 Replies
39K Views
Kwa maadili ( mila na desturi) za Kitanzania. Mtoto wa kike anaweza kumnunulia mzazi wake wa kiume(baba) nguo za ndani (chupi/boxer)?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habr zenu, Hizi siku nmekuwa adimu sana hasa mambo ya kimaisha sio oficin sio wapi full stress. Since j3 nimepokea taarifa kutoka kwa bint kuwa ni anamimba yangu nikachukulia simple...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Wakuu ile kukuru kakala na mtoto wa diwani atimae siku ndio imefika, Baada ya kusota sana central na kulazimishwa kumuoa atimae kesho ndio siku yenyewe, Kesho ndio siku iliyopangwa nikatoe...
10 Reactions
87 Replies
7K Views
Wana MMU, wazima wote!? Nimeleta swali hilo ili niweze kufahamishwa na wataalamu, hususani wa kisaikolojia. Kwanini wanadamu sisi, wake kwa waume tunakuwa na wivu mkali unaopelekea hasira...
2 Reactions
69 Replies
11K Views
Eti unajiita baharia baharia gani hunuki hata mdomo? Baharia kuoga mara tatu kwa siku baharia anatakiwa anuke kwapa, et baharia anuki chochote! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1 Reactions
3 Replies
938 Views
Hivi kuna ukweli wowote kwamba mwanamke(baadhi yenu) akijifungua mpaka mtoto kufikia umri wa miaka (2-3) akawa hana hamu ya tendo/kufanya sex yaani kupoteza kabisa hisia?. Wanawake naomba majibu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wengi humu ndani mmewakariri baadhi ya wanawake tunaobishana nao kwenye threads tofauti ila ukwel wa mambo wanawake wazur humu jf huwa hawachangii mada kazi yao kusoma na kulike bhasi. Narud kwa...
5 Reactions
102 Replies
12K Views
Habari za wakati huu.. Nawasilisha hivi nyinyi wanawake mnaowatega wanaume kwa kuwapanulia mapaja yenu na kuinama inama huku nakule ili mjiache wazi kwa lengo la kumnasa mwanaume . Nawaambia hivi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama kuna mtu humu hajawahi kuwa na mchepuko aseme[emoji19] Mie naona hili suala tulipitishe na tulihalalishe ili kila mtu amuweke wazi mchepuko wake kwa mwenza wake! Isitokee tena ndoa kufa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Siku moja nilikuwa safari katika mji fulani, nikafikia kwenye hoteli moja Y.Baada ya kulipia chumba nikaona bora kwanza nioge ili kupunguza uchovu;nilipotazama kwenye meza pale chumbani nikakuta...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
1. Kwanini mkutane? --ili tupate share experiences zenu pengine zitatupa moyo tuliokimbiwa hv karibuni! 2. Nini cha kutueleza? --jinsi alivyokukimbia (kimya kimya/kashfa n.k), --hali ya kiuchumi...
0 Reactions
8 Replies
901 Views
Ww kijana mwenzangu ambae umeathirika na upigaji wa punyeto na picha zangono na umeoa unahitaji kuimarisha ndoa yako basi usisite kunitafuta na kukupatia dawa ambayo ambayo itakusaidia Kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaam wakuu? Je, ni sawa baba anapokaa na watoto wake ambao bado hawajaoa au kuolewa na kuwahadithia jinsi yeye alivyoanza kumtongoza mama yao hadi alipofanikiwa kulala nae, na zaidi kuwataja...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Nawauliza nyie wadada...kwa nini mnapokuwa kwenye mahusiano kabla ya kuolewa huwa mnatoa ushirikiano mzuri,sarakasi za kila namna mpaka mwanaume anashawishika kukuweka ndani.Lakini baada ya kuishi...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom