rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,976
Mwanaume anaumizwa mara moja tu na mapenzi bhasii baada ya Hapo unakuwa mzoefu kuhusu huu upuuzi unaitwa Maumivu ya mapenzi. Ukiona unaumizwa na mapenzi zaidi ya mara moja bhasi una KASORO!
Kuumizwa na mapenzi zaidi ya mara moja achia wanawake hao ndo hulia kila siku kuhusu mapenzi.
Imeishaa hiyo.
Kuumizwa na mapenzi zaidi ya mara moja achia wanawake hao ndo hulia kila siku kuhusu mapenzi.
Imeishaa hiyo.