Kafunga ndoa juzi juzi lakini ana watoto nje wawili kwa mpigo mkewe hajui

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,131
3,911
Bro wangu mmoja amefunga ndoa juzi juzi tu lakini amezaa nnje na mabinti wawili kwa mpigo.Watoto wote wana mwaka mmoja sasa mmoja wa kiume na mwingine wakike.Mkewe anamjua mmoja tu wakasameheana yakaisha lakini huyo mmoja bado hajulikani kwa mkewe hata hivyo bado hawajajaliwa kupata mtoto wala mimba.

Yupo kwenye wakati mgumu sana maana huyu aliezaa nae ambae hajulikani ndugu zake wameanza kusumbua.Anauliza afanyeje?
 
Hatukatai watoto,awafungulie biashara hao aliozaa nao huku yeye akiendelea na familia yake
 
Mnaambiwa kabla hamjaoa muweke mambo wazi, ili mtu ajiandae kiakili,. Nyie mnajifanya hamnazo kufichaficha, mnasahau mficha maradhi kifo humuumbua
 
Itakuja kujulikana tu. Ajitahidi asitokee mwingine wakiwa kwenye ndoa. Hao wa awali haina namna.
 
Wanaume wa siku hizi bwana hiyo ndo tabu ya mahari ya kuchanga na mwanamke ,maana hapo anatetemeka atamwambiaje mtu ambae yupo chini yake.
Mwambie akaze mdomo atoe sauti,huyo mtoto hastahili kufichwa anamnyima haki yake ya kuwa na baba wa wazi
 
I like your advice sister!
 
Wanaume wa siku hizi bwana hiyo ndo tabu ya mahari ya kuchanga na mwanamke ,maana hapo anatetemeka atamwambiaje mtu ambae yupo chini yake.
Mwambie akaze mdomo atoe sauti,huyo mtoto hastahili kufichwa anamnyima haki yake ya kuwa na baba wa wazi
Kuna Ukweli Hapa
 
Mnaambiwa kabla hamjaoa muweke mambo wazi, ili mtu ajiandae kiakili,. Nyie mnajifanya hamnazo kufichaficha, mnasahau mficha maradhi kifo humuumbua
Hapo katengeneza fukushima mwenyewe, wanawafundisha wanawake tabia mbaya
maana anajua kumbe nimeolewa na kicheche kama mke naye kapinda asubilie maumivu tu, jinga kabisa
 
Back
Top Bottom