Kipi afadhali akifanya mumeo/mkeo?

Kipi afadhali akifanya mumeo/mkeo?

ndandambuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
973
Reaction score
665
Kwa mwanamke-Baada ya kuambiwa na madaktari kwamba huna uwezo wa kushika mimba,je ni afadhali aoe au azae na yupi kati ya hawa wawili house girl au ndugu yako?
Kwa mwanaume-Baada ya kuambiwa huna uwezo wa kutungisha mimba ,je mkeo azae na yupi kati ya hawa wawili house boy au ndugu yako?
 
Kwani wewe umechagua mkeo azae na nani kati ya hao, dogo mbona mnatudhalilisha sana wakubwa zenu
 
Jamani ameuliza mbona mnamshambulia kwa matusi? haifai hata shetani anawashangaa
 
Back
Top Bottom