Mke wangu mjamzito

Mke wangu mjamzito

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Mke wangu mjamzito anasumbua mashariti kibao sijui atajifungua lini mtoto wa kike au kiume sijui jinsia gani mungu ndo anajua kila kitu kilichobaki kumshukuru yeye mungu baba wa mbinguni mungu wa isaya mungu wa yakobo mungu wa isaka na ismail.
 
Yalianza mahusiano yakaja mapenzi ikawa mimba umeleta maombi kwenye jukwaa la mapenzi.. haya na mods wakusaidie kupeleka huu uzi jukwaa la maombi🤪🤪
 
Naiona I'd mpya nyingine inachungulia inaitwa 'mke wangu kajifungua'
 
Sasa mbona kama mimba yake unayo wewe
Mke wangu mjamzito anasumbua mashariti kibao sijui atajifungua lini mtoto wa kike au kiume sijui jinsia gani mungu ndo anajua kila kitu kilichobaki kumshukuru yeye mungu baba wa mbinguni mungu wa isaya mungu wa yakobo mungu wa isaka na ismail.
 
Mkeo ndio ana mimba lakini we ndio unalialia je ungeibeba wewe hiyo mimba si ndio ungekuwa kero zaidi ya mkeo
 
Kabla hajajifungua rudi darasani ujifundishe kuandika vzr mkuu hasa hayo majina.......
 
Back
Top Bottom