Wanaume walio-oa wadada wanao-omba pesa mara kwa mara, waje hapa kuleta mrejesho

Cute Cindy

JF-Expert Member
Apr 9, 2019
211
591
Mara nyingi Wadada wanaoomba pesa k.v elf 20, elf 10 mara kwa mara na siku chache baada ya kutongozwa na mwanaume, kabla hata ya kutoa papuchi, wanalalamikiwa sana na wanaume humu ndani..

Sasa Kwa watu waliotoa hizo pesa na kuoa wadada wa aina hiyo wanaowaomba hela Mara Kwa Mara, kabla ya kuwapa papuchi, hizo ndoa zenu zipo salama, hao wadada ombaomba mnawaonaje, ni wife material au Pasua kichwa huko kwenye ndoa..
 
tatizo amjatuelewa mpaka leo ipo ivi ukiona unaombwa sana hela na mwanamke ujue akupendi kbs iyo ni kama tiketi ya kujiondoa mwenyew ila tunapopenda wala hatuombi ata senti mpaka tupewe wenyewe na maisha yanaenda fresh
Upo vizurii Umeolewa wew????
 
tatizo amjatuelewa mpaka leo ipo ivi ukiona unaombwa sana hela na mwanamke ujue akupendi kbs iyo ni kama tiketi ya kujiondoa mwenyew ila tunapopenda wala hatuombi ata senti mpaka tupewe wenyewe na maisha yanaenda fresh
Hapo sasa.
 
nimechukua point
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom