Natafuta mke

Visionor

Member
Nov 9, 2017
20
14
Hello jf member, naitwa Adamson,natafuta mke wa kuoa tunaanzia urafiki mpk kuoana,umri wangu Ni miaka,32,Mkristu,
Mke anaye takiwa awe na umri miaka 26-30 mwenye hofu ya Mungu.Awe anaishi morogoro,dar,iringa,,aswe mrevi,asiwe mnene Sana,asiwe mrefu Sana,elimu na degree na kuendelea,asiwe na mtoto maana Mimi mwenyewe sina kwasasa.wasiliana nami kwa 0620197245 au pm tuyajenge.
 
Ngoja wanakuja mkuu japo hili sio jukwaa lake na usisahau kuongeza kigezo cha
1pesa
2pesa
3pesa
4pesa
5pesa
6pesa
7PESAAAAAAAA.
 
Umejiamini kweli kutangaza njaa, nakushauri mke hatafutwi kama tangazo la biashara mitandaoni.

Angalia usije ukampata, halafu bi-dada baada ya kutoa make-up asubuhi ukajikuta umeamka pembeni ya "KIUMBE" usichokifahamu.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom