G_real
JF-Expert Member
- Aug 23, 2019
- 684
- 857
habari za saizi wakuu kuna bidada mmoja anakaa mtaani kwetu amepanga nyumbani kwa mshikaji wangu anaishi kwao nyumba ya tatu kutoka ghetto na ni mgeni katokea kyela, bidada kaumbika hatari kila nguo akivaa ni majaribu kwa vijana na nimemuwinda wiki tatu mpaka nikapata namba yake ya simu nikajenga nae mazoea nikamtongoza akawa ananikwepa sababu kibao mi nikajua anakaza kwenye simu tu nikamfwata live maskan alipo panga na anakaa na dada ake, siku hiyo dada ake hakuwepo nikaingia mpaka chumbani nikamchezea saana akalainika ila ku sex akagoma katakata ikabidi nimkaushie tu. juzi mshkaj wangu kanambia aliingia chumbani kwa huyo bi dada kakuta dawa ARV kanambia mi nikabisha katakata mpaka nikahisi labda mshkaji ananionea gere tu, sasa jana usiku nilikuwa nachat na bidada nikamuomba mechi, akaanza kunikwepa kwepa mpaka nilipo mbembeleza akaamua aniambie ukweli kuwa ni muathirika ana HIV namimi ananionea huruma asije akafanya nikajuta.. mpaka saizi siamini kama ndo nimelikosa bigbooty lake...