Kipindi cha kikwete wanaume tulikuwa tunahonga hatari

Kipindi cha kikwete wanaume tulikuwa tunahonga hatari

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Leo nimekumbuka mbali sana kipindi kilee cha mkwele(kikwete),
Wanaume tulikuwa tunahonga kiasi cha wanawake kuwafanya wawe Viburi kwa apeche aloloo,
mwanaume ilikuwa kama huna pesa basi huwezi pata demu mkali,

Yaani sisi wanaume kutuma laki tatu, laki mbili hizi ilikuwa kitu cha kawaida sana,
Wanawake walikuwa na msemo wao wanasema Laki si pesa,

Kipindi kile cha mkweleeee wanawake watakikumbuka sana kipindi hiki cha uncle wanaume Tuko Gado.



Cc Zero IQ
 
Enzi za HOME SHOPPING CENTRE!!!! Siku moja Kikwete akiwa pale Msata aliwaambia wakwele wenzake kuwa "MKIZUBAA MIMI NINGALI MADARAKANI MTAKUJA KUNIKUMBUKA"!!
 
Hakika kila zama za zama zake...

Hata awamu hii bado tunaendelea ku-provide, ila siyo kama awamu iliyopita...


Cc: mahondaw
 
Sina la kusema maana enzi za JAKAYA sikuwa na kazi nzuri.

Mambo ya kuhonga nimeyajulia kwa Mzee Jiwe aka Malaika. Tena anaingia nami naingia mzigoni.
 
Back
Top Bottom