✍ MENDE anamuogopa PANYA, PANYA anamuogopa sana PAKA, na PAKA anamwogopa MBWA...wakati huo huo MBWA anamwogopa MWANAUME na kumbe MWANAUME anamwogopa MWANAMKE...sasa hutaamini nikikwambia MWANAMKE...
Tuna miezi sita kwenye mapenzi yetu.
Mimi nampenda sana ila sina hakika kama yeye ananipenda.
Kwa nini sina hakika? Hataki kabisa kunipa tunda...
Nimeshafanya kila kitu kupruv kwake kwamba...
Nipo hapa mji wa jirani nimeamua kuja kubadilisha hali ya hewa,nikasema nitafute mtoto mzuri wa kuniweka bize kidogo ili niweze kupunguza msongo wa mawazo wa kidunia.Mtoto akaomba nimtumie garama...
Hey Pals
Najua humu kuna watu wameoa na ndoa zao ziko vizuri kabisa,Na wake Zao ni watiifu kabisa,Kutokana na utiifu huo basi kuna wanaume wamejipa imani kwa wake zao kuwa hawawezi kuwasaliti...
Hapo miaka ya 2001_2004 nilipokuwa nasoma o level mkoani tanga katika shule moja Fulani ya kata, nilitokea kuwa kichwa Sana pale darasani masomo karibu yote nlikuwa naongoza mm kuanzia form i-iv...
"I was abandoned by my mother at the age of seven months (7months) with my father and stepmother. My stepmother was mean. I endured all manner of maltreatments she meted at me. Sometimes I went...
Jamani habari za humu?
Naombeni msaada wenu ndugu zangu. Mimi ni kijana tu wa miaka 24, nilikuwa na mahusiano miaka 5 iliyopita.
Niliyekuwa na mahusiano naye alikuja kwangu kwa nia ya kumfundisha...
Habari wapendwa ,ni binti ambae nilikua na mahusiano kwa Sasa Sina mahusiano
Sijawai kuolewa Wala Sina mtoto
Naomba nitoe fursa hii kwa mwanaume ambae hana mwanamke na anae taka kuongeza mke...
Oyo niaje mazee?
Ni takribani wiki mbili sasa tangu, demu wangu niliyempenda aolewe. Kwa kweli, ndani ya hizi wiki mbili nimepitia wakati mgumu sana ila nashukuru angalau moyo sasa umetulia na...
Kama kichwa husika kinavyojieleza hapo juu. Nimempata Tayar Ostaz Wa kuniandikia barua na kuipeleka ukweni, ila mbaali na hayo binafsi nilitaka kujua uzoefu juu ya swala hili maana naskia kuna...
Natumai mu vyema wakuu!
Husika na heading hapo juu ni Jinsi Gani mtu unaeza ukajicontrol usiwe #Talkative saana maana hiyo inachangia adi kusema mengine ambayo hukutaka kuyasema na baada ya hapo...
Ni vizuri kila mtu kwa nafasi aliyonayo kumfanya mwenzie awe rafiki yake, mfanyakazi mwenzie, ndugu yake, adui yake, mpita njia n.k kuwa na matumaini.
Inapendeza sana mtu anapokuona...
Baba yangu amestaafu akiwa na miaka 60.
Mama yangu pia ni mstaafu kazini, lakini kila napoona shughuli za Mama na Baba najifunza kitu kuwa hakuna mwanamke ambaye huwa anastaafu.
Huamka asubuhi...
Wakuu leo nimemfuma house girl wetu akiwa ana drive pia amekuwa yupo hot saaana yani(amekuwa na mvuto mkubwa wa kimapenzi)
Amezidi kuwa soft pia kwenye mazungumzo yetu nilicheki picha zake kwenye...
Hey Pals,,
I hope mko gud Ryt,,,,,
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wanawake kushiriki mapenzi na wapenzi wao kinyume na maumbile,Na hili halina ubishi coz kila kitu kinaonekana.
Licha ya ongezeko...
Jamanie naombeni msinihukumu but hii ni wish yangu kutoka moyoni. Natamani kuwa na mwanaume wa kizungu. Wadada wenzangu yeyote ambae ashawahi kudate na mzungu naombeni mbinu, pa kuwapata na...
Wababa tupo kwenye hatari ya wengi wetu kufa mapema sababu ya stress na upweke hasa tunapoingia uzeeni.
Wanawake wetu wameingiwa na roho ya ubinafsi sana siku hizi, wanawapandikiza watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.