NAMNA YA KUFUFUA MAPENZI YA ENZI HIZO

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,203
Tukitaka mapenzi ya enzi za mama zetu ya rudi na hawa wanawake watupende na kuheshimu wanaume bila kujali ile zana ya 50_50 imewaathiri vipi, njia sahihi ni kwa wanaume wote kuadhimia kuto wapa wala kuwa honga ela hawa wa kina dada wasasa bila kujali wapo na matatizo gani.
 
Ilishapita hiyo mkuu, haitajirudia tena.
Cha kufanya wewe ni kufanya vile unaona nafsi yako itafurahia uumbaji wa Mungu.
 
Hivi mkuu unaweza kuendesha gari bila kuweka mafuta, au ukale kwenye mgahawa bila malipo. Acha tuwahonge tujilie papuchi sie


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom