Ukiamka naomba koment yako tafadhali (Kama utakuwa umelala). Ama kama nawe unakesha kama Mimi - TWENDE
BINTI niliyemzidi umri takriban miaka 3, tulicheza wote miaka ya 2001 - 2004 tukapoteana...
Kuna wale vijana magraduate ambao hawapendi kuishi huku kwetu Uswahilini. Wewe umeanza kazi mshahara unapata 1.2 m baada ya makato, una somesha wadogo zako wawili na wazazi wanakutegemea wewe...
Ghanaian Professor To Sue BBC Over 'Sex For Grades' Scandal
Nairaland
A Political Science lecturer at the University of Ghana (UG), Professor Ransford Gyampo has threatened to initiate a legal...
Kuna tabia mbaya sana imeibuka siku hizii vijana wa mjini kuzaa au kuzalisha alafu Watoto wanawapeleka kwa Bibi akawalelee, Ubaya haya hela za matumizi hawatumi watoto wanaishia kuzagaa mitaani na...
Mdogo wangu Wanawake bitches sana. Nisamee kwa lugha hio ila nimekwazika. Miak 7 kwenye ndoa and she was OK.
Nimeachishwa kazi juzi juzi tu. Leo Ana mahusiano ya siri na boss wa kampuni ya...
Wakuu,
Huku pande za kitaa cha Ukonga kama unaelekea Ulongoni kwa mbele kidogo, ukipita Kampala International University (KIU), nd'o nilikopata chumba cha bei nafuu chenye choo ndani.
Wapangaji...
1. Kufika kileleni mapema
2. Kutumia muda mrefu sana kufika kileleni.
3. Kutokufika kabisa kileleni.
4. Kutoa shahawa chache.
5. Nguvu ndogo sana ya kumwaga shahawa.
6. Kukosekana/kupungua...
Kwani mkikaa tu ' Mabachela ' kama Sisi wengine mtapungukiwa nini? Mnaandaa Harusi Kubwa na yenye kila aina ya Mikogo na Mashamsham halafu ukitoka tu ' Fungate ' na Mkeo uliyemuoa na Kujitapa nae...
Ni takribani miaka minne sasa toka niingie katika ulimwengu wa kupenda na kuacha au kuachwa.
Katika miaka yangu yote nimekuwa na ugonjwa mbaya sana...kuna wakati natamani kuuacha ila nahisi...
Takwimu: Vifo vya wanaume ni vingi zaidi kuliko vya wanawake.
Takwimu: Idadi ya wanawake hai ni kubwa zaidi kuliko ya wanaume.
Assumptions: Bro unakufa upo single, unaenda kuzimu unategemea...
Unaambiwa ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni.
Anyway nisiwachoshe msinichoshe ni hivi....
Leo nimeona niingie Facebook kidogo nione nini kinaendelea huko....la haula ile na log in tu naona...
Hello jf member, naitwa Adamson,natafuta mke wa kuoa tunaanzia urafiki mpk kuoana,umri wangu Ni miaka,32,Mkristu,
Mke anaye takiwa awe na umri miaka 26-30 mwenye hofu ya Mungu.Awe anaishi...
Wadau habari za saa hizi. Acha niende moja kwa moja kwenye mada
Mwezi wa 12/2018 nilisafiri kwenda Dar nikamaliza wiki 2 nikiwa huko .nilivyo Rudi tu huku kwetu nikakuta kwa jirani yetu kuna...
Ni muziki wa aina gani ukiusikiliza unakuwa unakupa hisia kali na kujiona wewe ni wa thamani katika hii dunia,na unaitwaje ili na sisi wengine tuweze kusikiliza pale tunaposhushwa thamani.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wazazi wangu kwa kuchaguana wote wazuri matokeo nikapatikana mimi mzuri pia. Sijui mmoja wao angekuwa mmbaya au wote wangekuwa wabaya halafu wakaniizaa...
Habari wakuu
Mtu huyu kila mara ni balaa hamna usalama labda useme zipite siku 3 bila balaa upone lakini wapi
Nikiwasha mziki naupenda akisikiliza yale maneno anasema namkusudia yeye anakasirika...
miaka karibu 10 mpo pamoja, mnawatoto,mnavaa na kuvua pamoja,mahitaji anapata n.k lakini siku mara unasikia kifidodido kinanyanyua pua "Hujawahi nifanyia kitu chochotee cha maana tangu niwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.