Utafiti uliofanywa na wizara pamoja na taasisi ya taifa ya magonjwa ya binadamu unaonesha asilimia 24% ya watu wa kinodnoni wana tatazo la nguvu za kiume huku chanzo kikubwa ikiwa ni uzito...
Kuna visa vingi vinatokea huku mitaani vya "kupigwa mtungo" vya wadada waliokula Pesa za watu lakini "papuchi" hawatoi.
Mtu unamlia Pesa yake lakini akiuomba mechi unampiga kalenda na kuwapa...
Je, tangu uanze mapenzi ulishawahi kuwa na mtu ambaye ulimpenda kwa moyo wako wote hadi ukawa kipofu kwa yote mabaya uliyoyaona kwake, ukawa kiziwi kwa yote mabaya uliyoyasikia kwake lakini...
Amani kwenu waungwana,
Kwa wenye mahusiano ya kinyumba kwa muda mrefu na umezaa nae Mtoto/watoto, Jambo lipi la msingi linaweza kumpa sababu mwanaume kukawia kumpeleka mwenzi wake madhabahuni...
Imetokea Temeke juzi kipindi CCM wanafanya kura za maoni ndani ya chama chao.
Jimama moja la CCM zuri zuri lenye msambwanda wa maana nene nene jeupeeee liliamua kugawa papuchi mtaani ili...
Salamu kwenu members
Me Nina mpenzi wangu ananipenda na me nampenda sana na tunaishi kwa upendo Sana na ananiheshimu na anatabia nzuri, mkarimu ila tatizo lake linaloniudhi ni mavazi yake hayana...
Wanawake kwa wanaume mje hapa kuna kikao cha dharura:
Enzi zetu tulikuwa na msemo unasema "Mwanamke hasomeshwi, utaja kujiua". Naona sasa huu msemo umegeuzwa na kizazi cha sasa na kuwa "Mwanamke...
Jana nilibet nikashinda sh 35,000. Mida ya jioni nikaingia kitaa huku nikivimba, demu wangu si kaniona akaniomba sh 5000 kwa jeuri nikamgea sh 10000 huku natabasamu.
Dah uwezi kuamini alicho...
Huku tunapoelekea jamani, tunafanya mizaha mingi lakini tunapaswa kuwa serious kwa wenza wetu.
Wanawake hatupaswi kumkubali mtu kwa sababu ya misaada yake au pesa zake, siku tukisimama kwa miguu...
Katika familia moja ya ndugu yangu,kuna ugomvi mkubwa umetokea
Katika mzozano huo wakaanza hadi kupigana ambapo mwanamke alianza kupiga kelele akiomba msaada kutokana na kipigo cha mmewe...
Maisha haya bila kuwa na kipato ni tabu tupu, kupata tendo la ndoa itakuwa ngumu sana,kwa sababu wenzetu wanatumia kama kitega uchumi,'something 4 something'.Ngoja tuendelee kupiga chabo tu.
Grace (jina sio halisi) ni mhadhiri mahala fulani, alikuwa na mwana mme ambaye waliishi kama mke na mume japo hawakuwa na ndoa. Wote wanafundisha Chuo kimoja. Walikuja kuachana na huyo mwanamme...
1.Kulipiza kisasi kwa mpenzi aliyekusaliti au uliyeachana naye.
2.Kuishi mbali na mpenzi wako
3.Kazi za kusafiri/transfer mikoani ambako utaishi kwa kipindi fulani na kuhama tena.
4.Dhana...
Natumai hamjambo wakuu, na wengi wetu tupo kwa usafiri kuelekea job, basi si vibaya tukashare kidogo katika hili.
Binafsi kila tulipofanya ligi niliibuka mshindi ili nionekane kidume.
Je...
anaitwa madam salome haule miaka ya 2000's alifanyia kazi huko bariadi kama mwalimu (msingi),nikiwa shule ya msingi alinifundisha na alihama yeye na familia yake (mume na watoto wake) miezi...
Anaitwa Madam salome haule
Miaka ya 2000's alifanyia kazi huko Bariadi kama mwalimu (msingi).
Nikiwa shule ya msingi, alinifundisha na alihama yeye na familia yake (mume na watoto wake) miezi...
Moja ya sababu kwamimi kuwa member JF ilikuwa kupunguza upweke, nilitamani pia sana kuanza ku- socialize tena! Kuna wakati niliishi kama kisiwa, sikuwa na watu wa kuzungumza nao nikaukosa sana...
Huu ni ushauri tu wa bure kwa wanaume wenzangu.
Najisikia vibaya na kuumia sana pale naposikia mwanaume mwenzangu amekufa eitha kwa kujiua au kuua mtu kisa mapenzi.
Wanaume chukueni hili toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.