Grace (jina sio halisi) ni mhadhiri mahala fulani, alikuwa na mwana mme ambaye waliishi kama mke na mume japo hawakuwa na ndoa. Wote wanafundisha Chuo kimoja. Walikuja kuachana na huyo mwanamme baada ya Grace kupata ujauzito na kuuchomoa kwa makusudi. Tendo hilo lili mkera mpenziwe hivyo wakaachana.
Yule Bwana, alichofanya alioa mwanamke ambaye alikuwa mwanafunzi wa Grace. Kitendo hicho kilimuuma sana Grace.
Nije kwenye point yangu kuhusiana na hicho kichwa habari.
Jana Grace alituma ujumbe kwenye group wasapu la kada yao ambapo na yule Ex wake yumo.
Na Paraphrase:
Natamani Ex wangu (akitaja jina la Ex) agongwe na gari, akiwa mahututi abebwe kwenye ambulance, ambulance ipate ajali kwenye mto wenye mamba, Ex wangu aangukie mtoni, aliwe na mamba, kisha mamba huyo afe, aliwe na samaki, huyo samaki avuliwe na huyo mvuvi aniuzie mie huyo samaki, nimbanike, na wakati nimembanika nipitiwe na usingizi samaki aungulie, niamue kumtupa aliwe na paka, na huyo paka atokee mtu amlishe sumu afe!