Ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu, mwanamke mpe hela, usimpe moyo wako, utakuja kujuta.

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,905
Huu ni ushauri tu wa bure kwa wanaume wenzangu.

Najisikia vibaya na kuumia sana pale naposikia mwanaume mwenzangu amekufa eitha kwa kujiua au kuua mtu kisa mapenzi.

Wanaume chukueni hili toka kwa watu wenye busara, mwanamke usimpe moyo wako, mpe hela zako kadri uwezavyo ila usije kumpa moyo. Kumpa mwanamke moyo wako ni sawa na kuchezea kamari maisha yako, unacheza pata potea.

Wanawake sio watu wa kuwaamini kihivyo hasa kwenye mahusiano na mapenzi, at any time T anakumwaga au kukusaliti ukaishia kujinyonga au kuua mtu.

Moyo wako mdio maisha yako, ukimpa mtu kisha akauchezea ni sawa na kuchezea maisha yako na atakuyumbisha sana. Mwanamke usije kumpa moyo wako, mpe material things atakazohotaji ila usije kuthubutu kumpa moyo wako.

Jambo la pili, usije kuthubutu kua na mwanamke mmoja, wanaume wengi hufanya a very fatal mistake kua na mwanamke mmoja na kumpa mioyo yao. Mwanamke mmoja ni sawa na kua na kibuyu kimoja, time kinapasuka utapata shida sana.

Huu ni ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu. Pamoja na kua wanawake ni watam sana na very tricky, dont fall a victim to their trap.

Sharing is caring.
 
inategemeana kama unampa hela ili akupende apo sawa but kama unampa kama kumsaidia au msaada sidhani kama utajuta
 
ahahaahhahahah!wasitusumbue kwakwel!....wanaudhi wanapojitanabaisha oh kiasili mwanamme ana ngv za asili sijui blahblah kibao eti hawez kuwa na mwanamke mmoja!
sasa kwa taarifa zenu ht ss tuna nguvu za asili!...... TUHESHIMIANE TU KWAKWELI!
Mm upumbavu huo siulei kabisa nasemaga kabisa nikimfumania ndo mwisho wetu hapo ukinilazimisha jua unalazimisha kiama chako.
 
Huu ni ushauri tu wa bure kwa wanaume wenzangu.

Najisikia vibaya na kuumia sana pale naposikia mwanaume mwenzangu amekufa eitha kwa kujiua au kuua mtu kisa mapenzi.

Wanaume chukueni hili toka kwa watu wenye busara, mwanamke usimpe moyo wako, mpe hela zako kadri uwezavyo ila usije kumpa moyo. Kumpa mwanamke moyo wako ni sawa na kuchezea kamari maisha yako, unacheza pata potea.

Wanawake sio watu wa kuwaamini kihivyo hasa kwenye mahusiano na mapenzi, at any time T anakumwaga au kukusaliti ukaishia kujinyonga au kuua mtu.

Moyo wako mdio maisha yako, ukimpa mtu kisha akauchezea ni sawa na kuchezea maisha yako na atakuyumbisha sana. Mwanamke usije kumpa moyo wako, mpe material things atakazohotaji ila usije kuthubutu kumpa moyo wako.

Jambo la pili, usije kuthubutu kua na mwanamke mmoja, wanaume wengi hufanya a very fatal mistake kua na mwanamke mmoja na kumpa mioyo yao. Mwanamke mmoja ni sawa na kua na kibuyu kimoja, time kinapasuka utapata shida sana.

Huu ni ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu. Pamoja na kua wanawake ni watam sana na very tricky, dont fall a victim to their trap.

Sharing is caring.
Hapo kuwa na zaidi ya mmoja hii sawa kabisa ilimradi iwe kihalali. Ndo maana tunaambiwa tuoe wawili, watatu na hadi wanne ila tukiwa na mtihani ktk uadilifu basi tuanze na mmoja lkn baadae ukijitathmini bhasi fanya 'mathna'!
 
Kweli kabisaaa kama kitu hukipendi kwann umfanyie mwenzako??seriously hupendi kusalitiwa na wakati huohuo ww unasaliti kinyamaa...mfyuuu dawa ya moto ni moto wala si maji.
Ndo maana ake kama umemchoka mwenza wako bora umwambie ili uendelee na burudan zako sio kumpa stress tu mwenzako.
 
Back
Top Bottom