*DALILI KWAMBA MKEO HARIDHIKI NA UTENDAJI WAKO WA KITANDANI*
...... _Tendo bora la ndoa linatakiwa kuandamana na uwezo wa mawasiliano yaliyo wazi na bila soni. Lakini, ukiwa miongoni mwa wale...
Amani iwe nanyi wadada wote msioolewa
Yamkini nayanena haya kama sehemu ya mwanajamii katika kufikisha ujumbe kwenu.Miaka inazidi kwenda na umri nao unazidi kutaradadi wimbi la wadada linazidi...
Yeyote anaekupa pressure na kukuongopea kwamba NDOA ndio kilele cha furaha kwa mwanamke ni kwamba anakudanganya..NDOA sio Ultimate happiness kwa mwanamke.
My Black sister hauhitaji mpaka NDOA...
Don't confuse the lenght of a relationship with the Strength of a relationship. "Godbless Lema"
Jamani kwa wale wenye wake zao halali, TUWAPENDE WAKE ZENU JAMANI HAWA NDIO MARAFIKI ZENUU...
Habari za Jumapili Wadau
Niko kwenye Ndoa karibia mwaka mmoja sasa, Mke wangu ni mwajiriwa wa sekta binafsi na mimi niko serikalini, hivi karibuni nimehamishiwa Dodoma kikazi mke wangu yuko Mwanza...
Jamani hiki ninacho enda kushea na nyie ni true story.
Nikiwa mwaka wa Pili chuo nilipata girlfriend ila alinizidi mwaka mmoja. Baada ya kama miezi kadhaa tukavurugana basi bana tukawa kama...
Niingie kwenye mada tajwa.
Nahitaji mke mwema.
Sifa za nimtakaye
Awe mwaminifu mwenye nia ya kweli, aliyemaliza mambo ya ujana, aliyetayari na mwenye shauku ya kuanza familia.
Umri 26-35...
Niaje wana zengo???
Nimepitia mahusiano kadhaa.Lakini katika katika pitapita zangu kuna baadhi ya wanawake natokea kuwa feel sana.Natia nia ya kudumu nao hata kuoa.Sioni sababu ya kudanganya...
Mtu anaweza kudhani ni story ya kutunga la la hasha, sina faida kwenye hilo, hiki ni kitu kinatokea kwa mara ya tatu Leo... Mida ileile
Baada ya kuota tena Leo, nimesita mno kuweka hili bandiko...
Mke wangu ni mama wa nyumbani ila haeleweki kawa jeuri, ni mtu wa matusi, hajui watoto wanakula nini. Mudacwote yuko busy na simu na mara nyingi anakuwa nyumba ya jirani.
Sasa binti yangu wa kazi...
habari wakuu naomb kuuliza kuhusu hii sheria ...Kunamama angu mdogo amezaa mtt mmoj na mumewe ambae mumewe kwa sasa kafarik huku ameacha watt wa nje wanne sasa shida ni wale watot walikuwa...
Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Habari za siku nyingi ni muda kidogo toka nipotee Jamii Forums. Na imani wote ni wenye afya njema.
Wanawake wengi wamekuwa wakisahau na kuona kama mwanaume fulani si mpambanaji au ameridhika na...
Kuna mtoto wa baba mchungaji namfukuzia, ameniambia akitaka anikubalie nikasali na kutambulishwa kwenye kanisa lao,
Sasa nimeona isiwe kesi nimekubali mi nataka tunda tu kwangu kuwa mlokole sio...
Habari za asubuhi ndugu zangu wapendwa wote leo nimekuja mbele yenu kuomba ushauri juu ya tabia hii mpya aliyoianzisha shemeji yenu na wengine wifi yenu.
Je, ni sahahihi mpenzi wa mtu kuongea na...
Kuboreka/upweke ni hali ambayo inawakumba wengi kabla hatujawapata real love; aisee sikuku zimeanza na hakuna mwanamke wa kueleweka wa kwenda naye out; its ryl boring, leo nipo karibu na mwenge...
Kuna binti nilikutana nae miezi mitano iliyopita , tukafanya mambo yetu kama kawaida baada ya mwezi moja akaniambia anajisikia vibaya nikamwambia aende akapime Hosptal ,akaenda na kupima vipimo...
Mimi ni msabato mzuri tu sana, leo nimedamka asubuhi sana nimewahi kanisani kwetu ili nikajiandae na somo langu la leo kwa vijana maana mimi ni mwalimu wa vijana wanaoitwa path finders hapa...
Wakuu ni matumaini yangu wazima wa Afya
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, ningependelea kuzungumzia TATIZO LA VIJANA KUJIHALALISHIA MABINTI WA WATU NA KUISHI NAO KAMA MKE NA MUME
Tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.