Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

mwanamke hata kama atakupenda vipi, ujue lazima atatongozwa na wahitaji wengine... lililobora kwetu wanaume ni kujenga mazingira yakuendelea kuonekana bora kwake, hili litampa uwezo wakuitoa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna demu mmoja namfukuzia pamoja na changamoto nazokumbana nazo ikiwa ni pamoja na simu zangu kutokupokelewa kwa wakati,sms kutokujibiwa inavyotakiwa,akiniona kama vile anakua na aibu flani ivi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama unawahi kukojoa wakati wa sex na kuchelewa kurudia game (round 2) jaribu hii. Kuna mbinu nimekuwa nikitumia wiki tatu sasa naona ni nzuri ijaribu usiku wa leo halafu utaleta mrejessho. ipo...
5 Reactions
69 Replies
10K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25 Natafuta Mwanaume mwenye Hali Kama yangu.kama unauhitaji wa mtu Kama Mimi plz pm mengine tutajuana mbele ya safari
8 Reactions
72 Replies
9K Views
Mimi ni mwanamke miaka 27 nipo Dar es salaam naishi namaambukizi nya VVU natafuta mume wa kunioa mwenye hali kama Yangu miaka29 mpka34 awe na afya nzuri awe amejikubali awe mkristo awe tayali...
6 Reactions
31 Replies
6K Views
Mke wa mtu kumpenda mume wa mtu ni sahihi?Nilishawahi kukutana na hali hii,kutokana na moyo kuwa mwepesi nikajikuta tupo pamoja.Mbaya zaidi mwenzangu amezidiwa muda wote ananiita mume wake na mara...
1 Reactions
100 Replies
12K Views
Kasumba ya mwanamke ni kupendwa na mwanaume. Mwanamke anapopendwa na mwanaume aliyeingia akilini mwake huhisi wa kipekee duniani. Hujihisi malkia kwa ampendae, no one like her. Wanawake pia tuna...
7 Reactions
73 Replies
7K Views
Salaam wana Jf...natumaini mu wazima wa afya tele na poleni kwa kuweza kutupa shauri ambazo kwa namna moja ama ingine zimeweza kudumisha mahusiano ya watu humu ndani... Husika na kichwa cha...
1 Reactions
67 Replies
9K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo.... Na Leo ndio kaamua kurudisha rasmi zawadi na vitu vingine ambavyo nilimnunulia wakati wa mahusiano yetu... Hapa nilipo machozi yananitoka kwa...
15 Reactions
140 Replies
19K Views
Asanteni sana wote mlionishauri niachae nae nifocus kwenye maisha yangu. Ni hivi yule girlfriend wangu Hajir kaanza kunitafuta mwenyewe. Kumbukeni kuwa nilifuta namba zake baada ya yeye...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari ndugu! Somo la leo gumu kidogo baada mtifuano wa jana kwa mada ya wanawake! Mahusiano ya mtu na mtu hukumbukwa kupitia vitu mnavyoshare wakati mko pamoja. Unapotoka makaburini kumzika...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Hawa wanawake tupo nao katika maisha yetu ya kila siku,i la ni viumbe vinavyotusababishia matatizo makubwa sana kwenye maisha. Hawa wanawake wanatuwekea wanaume limbwata tunakuwa kama machizi na...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa kifupi Leo nahitaji kuwashauri watoto wa kike kuwa pale ukifika muda wa kuolewa unatakiwa kuwa makini na mwanaume alielelewa na mzazi mmoja zaidi mwanamke(single mother) au mwanaume alietoka...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Wanajamvi, Samahani kama nitakuwa nimewauzi lakini hili ndio swali muhimu sana la kuuliza wazazi na ukipewa jibu lolote litafakali ili nawe ulitumie kama funzo mbeleni na kuutumia vizuri ujana...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Nina mtoto mmoja wa kike. Mwanamke huyu nimegundua hatuendani kabisa mwanzo hakuwa hivi. Yupo ambaye nilikuwa nampenda. Nalia[emoji24][emoji24][emoji24]. Mimi ni mpumbavu tu. Inakuwaje naishi na...
5 Reactions
103 Replies
13K Views
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu aliyenipa nguvu ya kujimwambafy na kuandika hapa. Takribani siku 3, nilikuwa najiskia homa kidogo kama uchovu, basi ndipo nlipochukua hatua ya kwenda hospitali...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari: Leo nawapa ujumbe wa kuzingatia sana katika maisha ya kila siku. Kama una mpenzi au rafiki na unapiga simu mara ya kwanza, ya pili na mara ya tatu na hapokei usipige tena. Wazungu walikuwa...
20 Reactions
46 Replies
10K Views
Ukiwa na hela kuhonga ni kawaida sana na kunaleta raha mnoo,ukiwa na hela ni kawaida tu kumhonga mchepuko wako hela yoyote pasipo kuiwazia Hizi 10 10 unazitoa tu bila nongwa wala kelele Ukiwa na...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Hakuna kitu inanipa mzuka na hii najua ni kwa wanaume wote. Yaani ile napiga mbuzi kagoma kutembea halafu sauti mbu mbu mbruuu nikiisikia huwa napata mzuka usio wa kawaida na mchumba wangu...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Karibu juma zima lililopita nimekuwa nikitembelea eneo hili la Kimboka by Night hapa Buguruni, Klabu ambayo iko jirani na kituo cha mafuta ambacho wengi huita Buguruni Sheli. Nimekuwa nikitembelea...
19 Reactions
67 Replies
63K Views
Back
Top Bottom