HahahahaHili swali ulitakiwa uelekezee tunaodate wakaka wa kinondoni
Wao wenyewe hawawezi kukubaliana na hizi kashfa
Hili swali ulitakiwa uelekezee tunaodate wakaka wa kinondoni
Wao wenyewe hawawezi kukubaliana na hizi kashfa
Hebu toa ushuhuda kwa uliodate nao hapo Kinondoni
Hahaha jamani mtarajiwa nini hii jamaniHili swali ulitakiwa uelekezee tunaodate wakaka wa kinondoni
Wao wenyewe hawawezi kukubaliana na hizi kashfa
Hahaha jamani mtarajiwa nini hii jamani
Na tiketi yako ya mechi na sevilla;Nimeandika ukweli mtarajiwa...wewe kwenye 24% haupo😁
Na tiketi yako ya mechi na sevilla;
.ni yakule upande pa hohahe lakini;
Tshert langu nilikute wapi mtarajiwa;Mie nimenunua Tshirts mbili za simba, yangu na yako
Huko huko ndio pazuri tunashout tunavyoweza...japo najua tutafungwa za kutosha
Nitakupa tukionanaTshert langu nilikute wapi mtarajiwa;
Nipe kijuwe cha kulikuta aise