nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
Huku tunapoelekea jamani, tunafanya mizaha mingi lakini tunapaswa kuwa serious kwa wenza wetu.
Wanawake hatupaswi kumkubali mtu kwa sababu ya misaada yake au pesa zake, siku tukisimama kwa miguu yetu risasi za kichwa zitatuhusu rejea Ufoo Saro na yule aliyeuawa leo nafikiri, wenye habari kamili watatusaidia.
Wanaume acheni tabia ya kumpotezea mtu muda na kumdanganya kwa maneno mazuri huku unajua wazi huna mpango nae mbeleni.
Ukijaribu kuvaa viatu vya wahusika wa matukio haya, unaweza kuhisi maumivu yao. Mtu anategemea baada ya muda fulani tutatengeneza maisha na mtu fulani kumbe mwenzake anawaza kinyume.
Au mtu anatoa mshahara wake kumlipia mama watoto kuwa waje kusaidiana baadaye alafu jitu linapokea kwa bashasha kumbe lina mipango tofauti.
Tuacheni huu utapeli in the name of love. Huu ni utapeli. Kama huna upendo na mtu weka wazi itambulike hivyo kuwa jamaa au dada ajue kusuka au kunyoa.
Karibuni kwa maoni yenu.