Demu wangu kaniambia nacheka kama Yesu baada ya kumpatia pesa

assaniz

Member
Oct 16, 2019
6
45
Jana nilibet nikashinda sh 35,000. Mida ya jioni nikaingia kitaa huku nikivimba, demu wangu si kaniona akaniomba sh 5000 kwa jeuri nikamgea sh 10000 huku natabasamu.

Dah uwezi kuamini alicho niambia "Eti oh baby unacheka kama Yesu " dah yani hadi now najiuliza hivi ni kweli nacheka kama Yesu au ndio uh upepo ulioingia mtaani.
 
Rohore rj

Member
Aug 5, 2019
15
45
Jana nilibet nikashinda Sh 35000. mida ya jiono nikaingia kitaa uku nikivimba demu wangu si kaniona akaniomba sh 5000 kwa jeuli nikamgea sh 10000 uku natabasamu.
Dah uwezi kuamini alicho niambia "eti oh BABY UNACHEKA KAMA YESU " dah yani hadi now najiuliza IV ni kweli nacheka kama YESU au ndo uh upepo ULIO INGIA MTAANI
Umeliwa bro.Yesu wake huyo sio Yesu kristo wa nazareti.Mbona wapo wengi tu mtaani hao yesu.
NB.Kuna YESU na yesu.
 
EP PRO

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,593
2,000
Haha, siku akikuomba ukawa huna, atakwambia yaani UNACHUNGULIA HELA KAMA YUDA
 
dr shayo

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
363
500
Jana nilibet nikashinda sh 35,000. Mida ya jioni nikaingia kitaa huku nikivimba, demu wangu si kaniona akaniomba sh 5000 kwa jeuri nikamgea sh 10000 huku natabasamu.

Dah uwezi kuamini alicho niambia "Eti oh baby unacheka kama Yesu " dah yani hadi now najiuliza hivi ni kweli nacheka kama Yesu au ndio uh upepo ulioingia mtaani.
Ahaaa haaa inaonyesha hujawahi kumpa hela kubwa hivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom