Must Read.....
WORDS OF ADVICE FOR LADIES
No man ever wants a 'crazy' wife! It is only guys who want a 'crazy' girlfriend, so don't be deceived. A guy who wants you to party hard every weekend...
Ni kawaida kwa sisi wanaume kumtongoza mschana au mwanamke uliemuelewa, na kila mtu ana mbinu zake za kutongoza ili akubalike. Ni majibu gani ambayo hupendi kuyasikia ukiwa unatongoza, Mimi...
Habari zenu wana Jf..!!
Niingie moja kwa moja kwenye Mada...niliwahi kukutana na msichana mrembo sana,basi nilifanya yanayotakiwa kufanywa mpaka nikawa na mahusiano nae..!!lakini huyu msichana...
Siku hizi maisha yamebadilika sana kulinganisha na vizazi vya zamani, mbadiliko makubwa ya sayansi na teknolojia yamepelekea mambo mengi hasi kumaliza suala zima la maadili na utamaduni wa jamii...
Kazi ipo!!
Hakuna anayeweza shindana na maneno ya kinabii. Hata uwe nani, hata upinge vipi huwezi kuzuia unabii kutimia. Wanawake wengi sasa ni kama hawaamini kinachoenda kutokea lakini ukweli...
t can be quite baffling how a woman could not know that her man is gay after dating him for sometime. While the stereotypically view of gay men are as flamboyant, cross dressing wannabe females...
Mm ninamahusiano na mtu kwa miaka kadhaa sasa!! Kuna wakat alinidukua watsap nikajua nikamtoa!!! Saiv nikiwasiliana na mtu kwa normal call. Lazima anakuja nifikishia ujumbe au kuongea maneno...
Amani iwe nanyi,
MIAKA 27 NA KWENDA JUU ni miaka yenye changamoto sana kwa wanawake, kwani katika miaka hii wanawake wengi wasipoolewa hujikuta wakiwa na pupa na mahusiano na matokeo yake kugeuka...
Ilikua ni asubuhi, alifungua macho yake taratibu.
Akanyosha mkono kumgusa mkewe. Hakukuwa na mtu. Mkewe alikua ameshaamka.
Akamsikia kwa mbali mkewe akiimba wimbo huu...
Wakuu bwana yesu asifiwe.
Kama heading inavyosoma wacha niende direct kwa topic. Jaman kuna wanawake wavumilivu sana kwenye mahusiano mnaosema wanawake hawa wamepotea hawapo nawapinga huyu shem...
Habari zenu waheshimiwa wote mliopo humu JF. Bila kupoteza muda naanza na mada straight. Kama ilivyo ada au desturi yetu waswahili tunapokutana popote nje ya mipaka yetu huwa tunaishi ki undugu...
Salaam wakuu? Maisha magumu si utani na kwa wale wenye afueni Mshukuruni Mungu kwa sana msikufuru.
Nimekuwa nikifikiria sana ni kwanini sisi wanaume hasa vijana kupata maendeleo ya kiuchumi ni...
*DALILI KWAMBA MKEO HARIDHIKI NA UTENDAJI WAKO WA KITANDANI*
...... _Tendo bora la ndoa linatakiwa kuandamana na uwezo wa mawasiliano yaliyo wazi na bila soni. Lakini, ukiwa miongoni mwa wale...
Amani iwe nanyi wadada wote msioolewa
Yamkini nayanena haya kama sehemu ya mwanajamii katika kufikisha ujumbe kwenu.Miaka inazidi kwenda na umri nao unazidi kutaradadi wimbi la wadada linazidi...
Yeyote anaekupa pressure na kukuongopea kwamba NDOA ndio kilele cha furaha kwa mwanamke ni kwamba anakudanganya..NDOA sio Ultimate happiness kwa mwanamke.
My Black sister hauhitaji mpaka NDOA...
Don't confuse the lenght of a relationship with the Strength of a relationship. "Godbless Lema"
Jamani kwa wale wenye wake zao halali, TUWAPENDE WAKE ZENU JAMANI HAWA NDIO MARAFIKI ZENUU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.