Ipi inaweza kuwa sababu ya msingi kwa upande wa Mwanaume kutokufunga ndoa.

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,590
2,141
Amani kwenu waungwana,

Kwa wenye mahusiano ya kinyumba kwa muda mrefu na umezaa nae Mtoto/watoto, Jambo lipi la msingi linaweza kumpa sababu mwanaume kukawia kumpeleka mwenzi wake madhabahuni?

Natanguliza shukrani
 
Mwambie una kibamia,Kama haitoshi mwambie huna hela Kama na hili bado mwambie asubiri uchaguzi upite😜
 
Mkuu mpaka unazaa nae miaka yote hiyo si keshakujua?
 
Amani kwenu waungwana,

Kwa wenye mahusiano ya kinyumba kwa muda mrefu na Mtoto/watoto juu, Jambo lipi la msingi linaweza kumpa sababu mwanaume kukawia kumpeleka mwenzi wake madhabahuni?

Natanguliza shukrani
sante mkuu

kwa upande mwengine mwanamume anaweza kukawia kumpeleka mwenziwe madhabauni au kufunga ndoa kwa sababu ifatayo

1. kutukua na imani na mwenzie > baadhi ya wanamausiano wanakuaga wanavulugu za chini chini sasa mtu alie timamu upenda kuvuta subila maana hujipa himani uenda msimu ujao mwenziwake atabadilika maan ata mungu umpa muda mtu " EZEKIELI18 > 21“Kama mtu mwovu akiachana na dhambi zake zote alizotenda, kama akishika kanuni zangu zote, akatenda yaliyo ya haki na sawa, huyo hakika ataishi, hatakufa. 22Makosa yake yote aliyofanya hayatakumbukwa; kwa sababu ya uadilifu wake ataishi. 23Je, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nafurahia kufa kwake mtu mwovu? La hasha! Mimi napendelea aachane na njia zake mbaya apate kuishi.

Ndio maana hata wababa nao usubilia labda mmama atabadilika ili amvike pete na mwiasho siku mala mwaka unakwasha na swala la ndoa ua kama ndoto ...

thanks billions
 
Asante sana mkuu
 
Amani kwenu waungwana,

Kwa wenye mahusiano ya kinyumba kwa muda mrefu na umezaa nae Mtoto/watoto, Jambo lipi la msingi linaweza kumpa sababu mwanaume kukawia kumpeleka mwenzi wake madhabahuni?

Natanguliza shukrani
WANAKUJA KUKUPA MWAONGOZO MKUU.
 
Kweli kabisa ht Mimi nilitarajia kufunga ndoa mwakani ila nimeghairi. Wanawake wana change sana
 
Amani kwenu waungwana,

Kwa wenye mahusiano ya kinyumba kwa muda mrefu na umezaa nae Mtoto/watoto, Jambo lipi la msingi linaweza kumpa sababu mwanaume kukawia kumpeleka mwenzi wake madhabahuni?

Natanguliza shukrani
Sababu kubwa mwanamume kuoa ni kubalehe,period. Hayo mengine mbwembwe tu na uoga usiokuwa na maana
 
sante mkuu

kwa upande mwengine mwanamume anaweza kukawia kumpeleka mwenziwe madhabauni au kufunga ndoa kwa sababu ifatayo

1. kutukua na imani na mwenzie > baadhi ya wanamausiano wanakuaga wanavulugu za chini chini sasa mtu alie timamu upenda kuvuta subila maana hujipa himani uenda msimu ujao mwenziwake atabadilika maan ata mungu umpa muda mtu " EZEKIELI18 > 21“Kama mtu mwovu akiachana na dhambi zake zote alizotenda, kama akishika kanuni zangu zote, akatenda yaliyo ya haki na sawa, huyo hakika ataishi, hatakufa. 22Makosa yake yote aliyofanya hayatakumbukwa; kwa sababu ya uadilifu wake ataishi. 23Je, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nafurahia kufa kwake mtu mwovu? La hasha! Mimi napendelea aachane na njia zake mbaya apate kuishi.

Ndio maana hata wababa nao usubilia labda mmama atabadilika ili amvike pete na mwiasho siku mala mwaka unakwasha na swala la ndoa ua kama ndoto ...

thanks billions
Mjadala ufungwe jibu ni hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom