M mwanamkongwe Member Dec 30, 2016 37 25 Oct 21, 2019 #1 Natafuta mke wa kuoa umri wa miaka 30 - 45, mke wangu marehemu ameniachia watoto kadhaa ni wakubwa na wadogo wasiliana nami inbox
Natafuta mke wa kuoa umri wa miaka 30 - 45, mke wangu marehemu ameniachia watoto kadhaa ni wakubwa na wadogo wasiliana nami inbox
mchagger JF-Expert Member Oct 15, 2019 861 1,049 Oct 21, 2019 #2 Mke anatafutwaga hivi kweli utapata na makahaba kwa mtindo huu
FatherOfAllSnipers JF-Expert Member Mar 13, 2019 1,638 4,210 Oct 21, 2019 #3 Kwani hukuenda mikocheni kwa mama wa upepo juzi kati hapa watu wameokota wake bure kabisa bila hata kutoa senti tano.
Kwani hukuenda mikocheni kwa mama wa upepo juzi kati hapa watu wameokota wake bure kabisa bila hata kutoa senti tano.