Je, ulishawahi penda hivi?

Challya

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
462
579
Je, tangu uanze mapenzi ulishawahi kuwa na mtu ambaye ulimpenda kwa moyo wako wote hadi ukawa kipofu kwa yote mabaya uliyoyaona kwake, ukawa kiziwi kwa yote mabaya uliyoyasikia kwake lakini mwishowe huyo mtu akaja akakuacha. Je, ulikuwa katika hali gani ulipoachwa, na je ilikuchukua muda gani kumsahau huyo mtu?
Gjjn.jpeg
 
Je, tangu uanze mapenzi ulishawahi kuwa na mtu ambaye ulimpenda kwa moyo wako wote hadi ukawa kipofu kwa yote mabaya uliyoyaona kwake, ukawa kiziwi kwa yote mabaya uliyoyasikia kwake lakini mwishowe huyo mtu akaja akakuacha. Je, ulikuwa katika hali gani ulipoachwa, na je ilikuchukua muda gani kumsahau huyo mtu?View attachment 1167135
Bado mkuu sijafikiaga ujinga kama huo labda uko mbeleni.
 
Sikikiliza ww mtoa maada. Jua kutofautisha kati ya love na upuuzi mwingine. Love is not blind, it has a 20/20 vision.
 
Tayari ajali hukuuuuuu.....

Back
Top Bottom