Visababishi vya maambukizi ya ukimwi

asiyetabirika

Member
Oct 14, 2019
46
55
1.Kulipiza kisasi kwa mpenzi aliyekusaliti au uliyeachana naye.

2.Kuishi mbali na mpenzi wako

3.Kazi za kusafiri/transfer mikoani ambako utaishi kwa kipindi fulani na kuhama tena.

4.Dhana potofu ya ulijali (kwa wanaume) yaani mwanaume hautakiwi kuwa boya mbele ya mtoto wa kike.

5.kutoridhika na mpenzi mmoja

6.unywaji pombe au kuwa exposed kwenye maeneo ya starehe eg. Disco,bar,n.k
 
Back
Top Bottom