Nampenda tatizo ni hili

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,559
18,881
Salamu kwenu members

Me Nina mpenzi wangu ananipenda na me nampenda sana na tunaishi kwa upendo Sana na ananiheshimu na anatabia nzuri, mkarimu ila tatizo lake linaloniudhi ni mavazi yake hayana maadili na nimekuwa nikimshauri Mara kwa Mara anakuwa anakasirika na anasema anakuwa comfortable akiwa na hayo mavazi kuliko nguo zingine na ananiambia mbona yeye aniingilii me tabia yangu ya kupenda mpira.yaani kunakuaga na timbili kwel kwel hasa nikigusia masuala ya mavazi yake. kwa maeneo mengine yupo vizuri ila kwenye mavazi yake ndio mtihani

Kuna siku moja alinita tukutane off course nikaenda siku hiyo ilikuwa yeye ndo amenitoa out siku hiyo alivaa Kama kawaida yake yaani ukiwa unatuangalia utazani nimechukua kahaba tunaenda kuchukua guest na ukiangalia muonekano wangu ni wa upole,mstaharabu na mtaratibu yaani wanashangaa Sana mpenzi wangu kiukwel hiki kitu kinakera Sana na mtu mwenyewe ukimuonya hata asikii kwa mambo mengine atakuelewa lakini si kwenye mavazi.

Mavazi anayovaa hayafanani kabisa na tabia yake no vitu viwili tofauti

NAOMBENI USHAURI

Nduguzanguni nishaurini nifanyaje ili aache hi tabia yake yakuvaa mavazi yasio na maadili na amini baadhi yenu mtakuwa na ujuzi kuhusu hili.
 
Mkuu kama huyo binti ni 18+ amini hata wazazi wake wameshindwa kumbadilisha. Ni ashakua sugu... . Utapasua kichwa chako bure piga usepe..
Maana hayo mavazi ni ya kutega wanaume... Ana karibisha na wengine pia wajipigie...
 
Haiwezekani, nasema haiwezekani tabia na mavazi visiendaneTunavaa kutoka ndani ya nafsi zetu.
It’s an alert ni muda tu utaongea!!
Kwenye tabia yake Sina tatizo nae cos kabla sijawa na uhusiano tulikuwa marafiki so namfahamu vizuri atawakati namtongoza aikuwa rahisi kukubali haraka alinipa jibu la ndio baada ya wiki tatu na before ya hapo aliwakataa wanaume Kama wanne ambao ninawajua ila me ndio nikapata bahati yakukubaliwa.Ni mwanamke Safi Sana anajua kumjari mwanaume alafu sio mjuaji ukiachana tu na tabia yake ya kuvaa hayo mavazi
 
Mavazi yasikuumize Sana kikubwa tabia na vile mlivyoshibana..muda utafika atayaacha tu,hakuna marefu yasiyo ncha.
Ushauri wako ni mzuri ila una hata idea yoyote yakunipa maana wewe ni mwanamke mwenzake ili aache haraka hii tabia wasiwasi wangu kutokana umbile la kuvutia alilonalo mpenzi wangu inaweza siku kubakwa
 
m
Salamu kwenu members

Me Nina mpenzi wangu ananipenda na me nampenda sana na tunaishi kwa upendo Sana na ananiheshimu na anatabia nzuri, mkarimu ila tatizo lake linaloniudhi ni mavazi yake hayana maadili na nimekuwa nikimshauri Mara kwa Mara anakuwa anakasirika na anasema anakuwa comfortable akiwa na hayo mavazi kuliko nguo zingine na ananiambia mbona yeye aniingilii me tabia yangu ya kupenda mpira.yaani kunakuaga na timbili kwel kwel hasa nikigusia masuala ya mavazi yake. kwa maeneo mengine yupo vizuri ila kwenye mavazi yake ndio mtihani

Kuna siku moja alinita tukutane off course nikaenda siku hiyo ilikuwa yeye ndo amenitoa out siku hiyo alivaa Kama kawaida yake yaani ukiwa unatuangalia utazani nimechukua kahaba tunaenda kuchukua guest na ukiangalia muonekano wangu ni wa upole,mstaharabu na mtaratibu yaani wanashangaa Sana mpenzi wangu kiukwel hiki kitu kinakera Sana na mtu mwenyewe ukimuonya hata asikii kwa mambo mengine atakuelewa lakini si kwenye mavazi.

Mavazi anayovaa hayafanani kabisa na tabia yake no vitu viwili tofauti

NAOMBENI USHAURI

Nduguzanguni nishaurini nifanyaje ili aache hi tabia yake yakuvaa mavazi yasio na maadili na amini baadhi yenu mtakuwa na ujuzi kuhusu hili.
Mavazi mabovu hawezi kua na tabia nzuri
 
Inaonekana ata mizinga anayokupiga anaenda kununua nguo ili apendeze dem wko anapenda sana kuvaa, vp kuhusu vgodolo haendagi
Huwez badl tabia ya mtu naamin icho so make choices ur self
 
Salamu kwenu members

Me Nina mpenzi wangu ananipenda na me nampenda sana na tunaishi kwa upendo Sana na ananiheshimu na anatabia nzuri, mkarimu ila tatizo lake linaloniudhi ni mavazi yake hayana maadili na nimekuwa nikimshauri Mara kwa Mara anakuwa anakasirika na anasema anakuwa comfortable akiwa na hayo mavazi kuliko nguo zingine na ananiambia mbona yeye aniingilii me tabia yangu ya kupenda mpira.yaani kunakuaga na timbili kwel kwel hasa nikigusia masuala ya mavazi yake. kwa maeneo mengine yupo vizuri ila kwenye mavazi yake ndio mtihani

Kuna siku moja alinita tukutane off course nikaenda siku hiyo ilikuwa yeye ndo amenitoa out siku hiyo alivaa Kama kawaida yake yaani ukiwa unatuangalia utazani nimechukua kahaba tunaenda kuchukua guest na ukiangalia muonekano wangu ni wa upole,mstaharabu na mtaratibu yaani wanashangaa Sana mpenzi wangu kiukwel hiki kitu kinakera Sana na mtu mwenyewe ukimuonya hata asikii kwa mambo mengine atakuelewa lakini si kwenye mavazi.

Mavazi anayovaa hayafanani kabisa na tabia yake no vitu viwili tofauti

NAOMBENI USHAURI

Nduguzanguni nishaurini nifanyaje ili aache hi tabia yake yakuvaa mavazi yasio na maadili na amini baadhi yenu mtakuwa na ujuzi kuhusu hili.
Achana nae...
 
Pole una safari ndefu bado
Kwenye tabia yake Sina tatizo nae cos kabla sijawa na uhusiano tulikuwa marafiki so namfahamu vizuri atawakati namtongoza aikuwa rahisi kukubali haraka alinipa jibu la ndio baada ya wiki tatu na before ya hapo aliwakataa wanaume Kama wanne ambao ninawajua ila me ndio nikapata bahati yakukubaliwa.Ni mwanamke Safi Sana anajua kumjari mwanaume alafu sio mjuaji ukiachana tu na tabia yake ya kuvaa hayo mavazi
 
Si hofu ya kubakwa,unaficha, ni hofu ya kuwaatract wabunifu wengine
Kwa nini tunavaa nguo?
Kwa nini anavaa kama kahaba?(kulingana na maelezo yako)
Ushauri wako ni mzuri ila una hata idea yoyote yakunipa maana wewe ni mwanamke mwenzake ili aache haraka hii tabia wasiwasi wangu kutokana umbile la kuvutia alilonalo mpenzi wangu inaweza siku kubakwa
 
Pole sana mkuu...kiasi nakuelewa!!ninae mimi ambae kila mtu anasema huyo hakufai,mm mwenyewe niliingia nipite njia tu..anaonekana mapepe sana,wa mjini mno,lakini baada ya kuwa nae dah!mtu mmoja anaroho safi sana,anajiheshimu sana,loyal mno yan inshort unavyomuona ni tofauti ukimjua karibu....hayo ndo mapungufu yake yavumilie tu kwa sababu yanavumilika
 
Mnunulie nguo nzuri ya heshima mwambie avae. Akivaa msifie. Ataanza kuzipenda nguo unazomsifia akivaa.
Mbinu hiyo ikishindikana muache tu, umri unavyoenda atakuwa anabadilika mdogomdogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom