Habari wana JF.
Mimi mzima hofu kwenu. Ni miaka kama miwili imepita tokea tupotezane na msichana ambaye nilikuwa nikimpenda sana, kipindi nipo form 4 yeye alikuwa form 3 which means mwaka 2017...
Wengi wanakimbilia ndoa,wakiamini watakuwa wanafanya tendo masaa 24 kwa siku...tatizo linajitokeza pale mhusika anapoamua kuwa halisia na kutaka kufanya tendo pale atakapojisikia yeye na si wewe...
Nawasalimu wana JF wote.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kuwaasa wanafunzi hasa wa vyuoni wanapokuwa vyumbani kwao wawe makini. Wanachuo walio wengi aidha wawe hosteli za chuoni au za...
Kamahuelewinisubiriubungonakuja
A GOOD WOMAN, MAKES A GOOD WIFE AND A GOOD WIFE BECOMES A GOOD MOTHER. A GOOD MOTHER GIVES BIRTH TO A GOOD CHILD. IF YOU WANT TO BE A GOOD WOMAN, WIFE AND MOTHER...
Serikali ya Tanzania imeanza rasmi kuwasaka Kimya Kimya Madaktari wote wenye Umaarufu wa Kuwatoa Mimba Watoto wa Kike ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi ( Primary ) na za Upili ( Secondary )...
Nawasalimu members wenzangu
Ndugu zangu nilikuwa tuna jirani yetu mmoja alikuwa ana uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja anayeitwa Rehema. Huyu jirani yetu alikuwa ni mpole, mstaarabu pia ni...
Ukiwa na akili huhitaji kuchunguza uwezo wa mwanamke na mwanamme upi ni bora na imara.
Akili za wanawake ambazo kila wakikuwa ndio zinapungua uelewa na kujiamini. Hawawezi kuwa na maamuzi sahihi...
Kama kuna kitu kinahakikiwa kwa umakini na kwa kurudiwa basi ni hiki kitu pesa.... Unaweza kumpunja mtu kwenye kitu chochote lakini sio pesa... Mpunje kwenye kipimo cha nafaka, ukamzidishia...
Kila mtu anaekuja umu anaitaji mara mke above 28yrz. mara mme above 35yrz
sasa apa leo nataka nikutane na watoto wa kike 20-23yrz. milango iko wazi mimi ni single boy. ata wakijitokeza wengi...
Kwa ladies, ukitaka mtu (mume/mchepuko) wako akuhudumie chochote unachotaka kutokana na uwezo wake, fanya yafuatayo:-
Akikugusa kidogo tu hata mkono, shtuka kimahaba
Ukiwa naye jitahidi uwe...
Sasa kama wewe mwanamke unajua kabisa kuwa unatumika kwa ule utaratibu wenu wa kibaiolojia wa kila mwezi, kwanini wakati unajua kabisa kuwa nina minyegenyege yangu ya kutukuka na ninapokuita uje...
Kwanza msije mkanikashifu maana kufanya kosa siyo kosa Bali kurudia kosa ...[emoji15][emoji15][emoji15]
Nilikuwa na mwanaume (mpenzi) tulidumu miaka miwili kasoro miezi mitatu.
Alikuwa...
Naomba jibu lako liwe moja tu, ni sahihi au sio sahihi kwa mwanamke avae suruali zinazobana. Sitaki maelezo mengi, wewe sema tu ndio au hapana.
Kimaadili, kijamii, kidini n.k ukijumuisha yote...
Afisa Msaidizi (Mlinzi) wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma bw. James Paulo amemuua mchumba wake Beata Kafuru(26) aliyekuwa muuguzi,katika...
Hodi humu ndani nakuja kwa kishindo kama [emoji233] lakini na huzuni kama [emoji212] cha kuku kilichoachwa na mamaye.
Kama kawaida nianze na hiki kitu kinachonisibu hadi sasa.
Kuna ex wangu...
Habari za hapa watu wa jukwaa hili
Nimeona nifike hapa niandike duku duku langu
Mama mkwe amekuja home kwa ajili ya kumsaidia mwane ambae mimi ndio barafu ya moyo wangu (my wife) ulezi mtoto...
Mambo 10 marufuku kwa wanaume
1. Kusomesha mchumba
2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.
3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.
4. Kutunza fedha kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.