Habari za muda huu wapendwa! Niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu, nipo hapa kutafuta mume yaani mwanaume ambaye tutaanza nae urafiki kisha mahusiano Mungu akijalia tuwe mume na mke
SIFA...
Enyi Wagalatia, ni nani aliyewaroga?
Na ni kwa nini mnawaamini sana waganga!
PASHA HABARI
Wanandugu watatu kati ya wanne wameingia katika simanzi kubwa baada ya kutapeliwa na...
Natumai hamjambo.
Leo nitashare nanyi kisa changu tupate kujifunza. Nilianza mahusiano na huyu demu tukiwa shule, after shule kila mtu akawa kwao tukawa tukiwasiliana.
Akiwa home akachumbiwa...
Kwanza kabisa nitoe pongezi za dhati kwa mheshimiwa Rais kwa kutuletea mtandao huu wa JamiiForums hakika Rais Magufuli ni mwamba (samahani nimeangalia taarifa ya habari ya ITV leo kuna daraja...
Kwenye sayansi ya Lugha kuna lugha kali na lugha zilizopoa. Kwa mfano Kinyarwanda hata mtu akiongea kwa kukasirika ataongea kwa maneno ya kupoa, na lugha ya Kichina watu wakiongea hata jambo la...
Wakuu...
Naomba leo ku'share na nyie hili suala. Kama mnavyofahamu sasa hivii pesa imekua ngumu huku uswahilini kwetu, hivyo kutufanya vijana kuchapa kazi kwa bidii na kujipatia kipato kidogo cha...
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.
Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona...
Hivi kwanini wanaume wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja na wakati huo huo wanawake hawaruhusiwi kuolewa na mume zaidi ya mmoja?
Hivi hapa wataalamu wa mambo walizingatia kigezo gani juu ya...
Ipo hivi,
Nlikuwa na mpenzi ambaye tuliachana muda. Mahusiano yetu yalibaki kuwa ni sex tu tena mara moja moja sana.
Binti akapata ujauzito ambao yeye alinambia mimi sio mhusika.
Juzi Kati...
Napenda sana kutumia condom ila cha ajabu Mara zote nilizovaa ndomu changamoto inakuja kila nikimaliza game nakuta nimebaki tu na kile kimpira tu kama barabendi condomu yote ilipopotelea sijui...
"Mimi ni nani mpaka nami Nishindwe kutolewa kwenye Bustani hii ya Dunia, kama Adamu na Ever tu wenyewe walishindwa kuvumilia licha ya maisha mazuri waliyopewa,"
Nipo Zangu gheto hapa nasubiria...
1
ALIKUWA mwanamke! Tena mwanamke wa haja! Alisimama pale, uso wake ukiwa umeelekezwa kwangu; kama anayesubiri nifanye kazi yangu! Naapa kuwa, kwa mara ya kwanza, katika maisha yangu ya...
Za mida hii wakuu
Ukimuona fulani labda ukampenda na ukamueleza ila ukaona anakuchenga chenga, na haeleweki, huyo achana naye usiendelee kumtafuta zaidi mtu ambaye ni sahihi kwako hawezi...
Habari zenu mimi ni mwanamke wa miaka 32 narudi tena kwa mara nyingine nahitaji mchumba/ mwanaume ambaye ni HIV+ sifa zifuatazo:
Awe: mwanaume
Umri:33-36
Awe: amejiajiri/ kuajiriwa
Awe: tayari...
Toka jana nipo Bwagamoyo.nashukuru kila kitu kilikuwepo kasoro kitu kimoja tu.mimi kiuhalisia nimekuwa nikichagua sana wanawake.napenda mwanamke mzuri wa sura na shape pia.lakini asiwe mpenda pesa...
members wenzangu humu mnaona kama nawachukia wanaume sana . si kweli ila hata kama ni kweli naombeni mnisamehe ila nazungumzia kwa jinsi navowaelewa. kwamba nyie ni wabinafsi na mna roho...
Wazee baba na wazee mama mambo vipi..
Sijui hata niliweke vipi hili janga lakini mimi kila nikipenda ni majanga mazee,
Shida sijajua ni nini kati ya wivu au gubu lakini upendo kwangu ni mtihani...
Punjani wafyetu
Wanawake wetu ni chombo cha starehe kwa sisi wanaume, mwanaume ambae upo chama cha CHAPUTA acha uo upuuzi mara moja, changamkia wanawake usiogope alivyo alie katika ndoa achana...
kuna binti mmoja nilikua namfukuzia,sasa kaingia kingi tayari,mimi nikaona nisipoteze muda mwingi na mapenzi ya tamthilia ya sijui umekula,umeota nini,kupelekeana maua na ujinga mwingine...