Njia Gani nzuri ya kusoma sms na calls za mtu (mpenzi) bila yeye kutambua

Bora kumtambua tabia za mpenzi wako mapema. Kuliko kuingia ndoani mkiwa chain ya watu msururu.

Tafuta mtu wa karibu akuoneshe jinsi ya ku-hack simu ya huyo mpenzi wako kama humuamini.
Ila pia kama umeshathibitisha haaminiki bora kumuacha tu hata bila kum-hack simu yake.
 
Daah...Ila moyo unauma sana
Nakushauri tu. Achana kabisa na kufatilia ma meseji yake. Kama unahisi hayuko mwaminifu, muite mwambie viashiria vinaonesha hauko muaminifu na nitakuacha! Akijali atabadilika ukiona viashiria vinazidi achana nae kwa wema tu.
 
Upo sahihi Mkuu yani bora kuumia mapema kabla ya kuingia kwenye ndoa
Bora kumtambua tabia za mpenzi wako mapema. Kuliko kuingia ndoani mkiwa chain ya watu msururu.

Tafuta mtu wa karibu akuoneshe jinsi ya ku-hack simu ya huyo mpenzi wako kama humuamini.
Ila pia kama umeshathibitisha haaminiki bora kumuacha tu hata bila kum-hack simu yake.
 
Bora kumtambua mapema jinsi alivyo
 
Bora kumtambua tabia za mpenzi wako mapema. Kuliko kuingia ndoani mkiwa chain ya watu msururu.

Tafuta mtu wa karibu akuoneshe jinsi ya ku-hack simu ya huyo mpenzi wako kama humuamini.
Ila pia kama umeshathibitisha haaminiki bora kumuacha tu hata bila kum-hack simu yake.
Sasa utaacha wangapi? Manake atakayefuata naye utaanza kumchokonoa ili uvumbue makosa upate sababu, huo ni umama.
 
Kwa nini aachane nayo? Ukweli utakuweka guru ,kwa SMS za kawaida Mimi natumia simu ya techno spark 4 inaopotion ya message web,ikubonya kwenye uwanja was kuandika SMS,baada ya hapo unadownload qr za simu husika then unaziskani kwa simu yake charts zote unasoma bila shida,sorry kwa maelezo mafupi na huenda ukapata ugumu wa kuelewa
Achana na haya mkuu. Kama humuamini achana nae.

Maisha tayari ni magumu sana mkuu, acha kuyatafuta matatizo yaliyojificha kwa tochi.
 
Back
Top Bottom