Mpenzi wangu kaniambia niache uroho wa papuchi

kyanyangwe

Member
Oct 31, 2018
77
150
kuna binti mmoja nilikua namfukuzia,sasa kaingia kingi tayari,mimi nikaona nisipoteze muda mwingi na mapenzi ya tamthilia ya sijui umekula,umeota nini,kupelekeana maua na ujinga mwingine unaofanana na huo,me nikajikita zaidi kwenye malengo ya kumtongoza ambayo ni kumgegeda tu,cha kushangaza jana nikaomba game akaniambia niache kuwa mroho wa papuchi,kama kunipa atanipa taratibu tu kadri siku zinavyoenda.
nifanyeje wakuu?
 
Father of all Snipers

JF-Expert Member
Mar 13, 2019
1,456
2,000
Usimpe hela,
mwambie pia aache uroho wa hela.
Kama ni kumpatia hela, utampatia kadri siku zitavyokwenda.
Hapo nimezungumzia upande wa wale wazee wa kumwaga mpunga huku wakiambulia ahadi.
Ila kwa upande wangu, nampa hela leo, kesho akianza "perepeche" zisizo na msingi, sina muda naye.
Maana wanawake nao ukiwahendekeza sana kila ahadi na kila kitu anacho kuambia, atakuona poyoyo, wakati wenzio wanapewa kwa wakati kile kitu roho inataka.
 
kadeti

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
738
500
kuna binti mmoja nilikua namfukuzia,sasa kaingia kingi tayari,mimi nikaona nisipoteze muda mwingi na mapenzi ya tamthilia ya sijui umekula,umeota nini,kupelekeana maua na ujinga mwingine unaofanana na huo,me nikajikita zaidi kwenye malengo ya kumtongoza ambayo ni kumgegeda tu,cha kushangaza jana nikaomba game akaniambia niache kuwa mroho wa papuchi,kama kunipa atanipa taratibu tu kadri siku zinavyoenda.
nifanyeje wakuu?
Yupo mp ndo maana umepigwa stop!
Jiongeze na weyeeee_ khaa!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom