Wanaume wa miaka hii ni hasara tupu

Wanaume wa miaka hii ni hasara tupu

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,158
Wanaume wa siku hizi ni moja ya viumbe wa hovyo sana sijapata kuona.

Wanaume wa kizazi hiki wakishavaa pensi na t-shirt zao za form six, wakimiliki simu mbili kubwa na funguo za IST basi anajiona maisha yote kamaliza, mbwembwe kibao kwenye mabar wakibugia serengeti lite, akili kichwani zero vitambi kama mimba za panya hakuna jambo lolote wanaloweza kuwaza nje ya box.

Badilikeni wanaume kumiliki vitakataka hivyo usijione wewe ndio konki basi kutwa kutongoza na kukumbatia wahudumu wa bar.

Nimerudi hizo ndio salamu zangu.
 
Wasipoelewa hapa basi hawataelewa tena!!
 
Samaki mkunje angali mbichi

Young people run faster but elders know the road.
 
Back
Top Bottom