Nilichojifunza kwenye mapenzi, kama huna moyo wa kutoa, sahau kupata faraja ya mapenzi. Hata maandiko yanasema, jinsi unavyotoa ndivyo unavyozidi kujiongezea baraka katika maisha yako.
Nimenotice hichi kitu, kuanzia maofisini hadi mtaani.Kuna mabadiliko makubwa sana kwa wanawake wa kipindi hiki. Regardless ni wazuri sana compared na wakipindi cha nyuma kidogo, ni rahisi sana...
Ziko njia mbili tu ambazo uhusiano baina ya wapenzi wawili utaandika historia. Ama uhusiano utadumu hadi kifo kiwatenganishe ama utavunjika. Hata hivyo uzoefu unaonyesha kuwa kwa walio wengi...
Wakuu kama kichwa kinavyosomeka, anajimwambafai kwa wenzake, anaringa kuwa na mimi. Sasa changamoto inayokuja kila nikimtokea demu hapa mtaani anasema we si unapendwa, endelea kupendwa.
Yaani...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijaribu kuona kama wanawake wanafanana kwenye maumbile au ladha nk. Nilichogundua ni kuwa ipo tofauti kubwa sana kwenye maumbile. Sio kweli kuwa radha ni ile ile wala...
Shukurani
Asanteni sana kwa wote mlionishauri hususan wale waliotoa ushauri chanya kama vile Fibanochi emanuel prim na wengine wengi. Ushauri wenu ninauthamini na nitaufanyia kazi kwa faida ya...
Wadau,
Hili nimeona niliseme maana kuna mambo ambayo nimewahi kukutana nayo katika kuhanja kwangu (kupitia pitia wasichana nikakumbana nayo) ilikuwa mtihani sana na nikawa nawaza namna gani ya...
Ni mara chache sana watoto wa kwanza kwenye familia kuwa 'watu' maishani. Mara nyingi watoto wa katikati na surprisingly nje ya ndoa ndio hutoka.
Mifano iko mingi kwenye vitabu vitakatifu lakini...
nawaombea dua malaya wote waende peponi maana wanatusaidia sana hawa watu yani kuna muda umekaa gheto umedinda ile mbaya hauna demu unampigia simu malaya anakuletea K kwa malipo kiduchu tu...
Habari wadau,
Hivi ikitokea mpenzi, mke au mume aka CONFESS kuwa alishawahi kukusaliti je utapokeaje suala hilo? Utampongeza, utamfukuza au mapenzi yatapungua? Mawazo yenu ni elimu kwa wengine...
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka...
Aslaam Aleikyum wanaharakati wa humu ndichi?,Hopefully mko yechu ya ela ote.!
Bas bhana bila kupoteza tyme acha nisololoe mox mox kwenye topic,Apa mtaani kwetu kuna mamilox mmoko ni anagawa...
Hello wanajamvi.
Poleni kwa mihangaiko yenu na ninatumaini mko vyema.
Leo naja kivingine kidogo kwa kuwa nmejiridhisha kuwa inafaa niweke wazi kuwa nahitaji kampani ya kike. Mimi ni wa kiume...
Bi Halima Juma mkazi wa Uyui, Tabora amejikuta yupo chini ya ulinzi mkali sana baada ya kutafuna dushe la mume wake na kufanikiwa kunyofoa kipande kibubwa cha nyama.
Tukio hilo limetokea kipindi...
Habari zenu members
Nina rafiki yangu ana mke mmoja. Hii ndoa imekuwa na misukosuko kutokana na tabia ya rafiki yangu kumpiga mkewe karibia Kila wiki pamoja na kupenda michepuko lakini pia...
Habari wana JF
Katika heka heka za maisha na kukwepa mikingamo, unaweza ukajikuta uko na baby drama unapunguza stress, basi kuna ile message pendwa BABY NIKUAMBIE KITU, yaani hapo unajua tu ni...
Wakuu leo tukiwa tunahesabu muda mfupi kuingia mwaka mpya, niko mwenyewe nikaanza kukumbuka baadhi ya mambo ya ujana plus ujinga niliowahi kuufanya wakati mihemko iko 4G.
Hakika ujana maji ya...
Ukisoma mada nyingi humu unaweza kudhani mwanamke ni kiumbe rahisi sana kutoa tunda,lakini kiuhalisia na sehemu kubwa sio kweli.
Kuna mada kadhaa zinazungumzia kula tunda katika mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.