Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,574
- 48,723
members wenzangu humu mnaona kama nawachukia wanaume sana . si kweli ila hata kama ni kweli naombeni mnisamehe ila nazungumzia kwa jinsi navowaelewa. kwamba nyie ni wabinafsi na mna roho mbaya.sasa nataka nijirekebishe ili niwapende na dawa ya kuniondolea kovu ni kunisaidia jambo hili
Jambo lenyewe ni hili jana nilisoma hii makala kwenye gazeti la mwananchi. machozi yalinitoka kwa kweli nimewaza nimeona niwashirikishe wanaume wa Jamiiforums na wengineo maana nataka kupatana na nyie
Nimewaza tuwachangie chochote kupitia uongozi wa jamii forums then tuwakabidhi watu wa gazeti la mwananchi
kama wewe ni mwanaume na unajijua sio mbinafsi na huna roho mbaya naomba uje pm utoe ahadi yako nikifikia lengo nitaomba namba kwa uongozi wa jamii forums ili mtume huko namba
Nawapenda sana
story yenyewe ipo hapa
Ageuka baba na mama wa wadogo zake sita

- Ni kauli ya kinyonge ya Mnanka Godfrey Marwa (17) mkazi wa mtaa wa Chamoto mamlaka ya mji mdogo wa Mugumu wilayani Serengeti ambaye amelazimika kubeba majukumu ya kuwalea wadogo zake baada ya kifo cha mama yao wakati anajifungua.
- Huku akilengwa lengwa na machozi anasema pamoja na kupenda kusoma lakini anashindwa kutokana na majukumu aliyonayo’ “Tumezaliwa watoto kumi, wa kiume wanane na wa kike wawili, hatumjui baba, tuliishi na mama yetu ambaye Oktoba 2016 alifariki wakati alipokuwa akijifungua mtoto wake wa kumi na akaacha kichanga hicho. Ndipo nikalazimika kubeba majukumu yote,” anasema
- story full soma hapahttp://www.mwananchi.co.tz/1596774-1596774-k7tscqz/index.html