Natumai hamjambo.
Leo nitashare nanyi kisa changu tupate kujifunza. Nilianza mahusiano na huyu demu tukiwa shule, after shule kila mtu akawa kwao tukawa tukiwasiliana.
Akiwa home akachumbiwa mara kadhaa anatoa nje ajili yangu, ikafika mahala wazazi wakachukua mahari kwa nguvu ili wamuozeshe.
Siku zikasonga ndoa ikawa karibu akatoroka kwao akaja gheto, walimtafuta sana akawa hapokei simu ikabidi wambembeleze kwa text anipeleke mimi anipendae kwao.
Tukaenda kwao tulipofika nikatishwa kutiwa nguvuni eti namrubuni binti yao, kilichofuata nikapewa onyo kumwacha aolewe familia isipate aibu.
Ndipo binti aliwatamkia wazaz wake, kwa utamu anaonipa nipo tayari mniue ila siwezi mwacha hata iweje, wazazi wakacharuka wakanitoa nduki.
Nilitoka but kesho yake jioni natoka job namkuta mlangoni nilishikwa woga sana but alitamka usiogope nimeumbwa ajili yako, mwisho wazazi ilibidi waheshimu maamuzi yake wakarudisha mahari japo walipata aibu sana.
Now tunaishi pamoja tumebarikiwa watoto 2, nampenda sana mke wangu.