Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hakuna mwanaume aliye single ambaye kila siku akitoka nyumbani kwake anajisemea ngoja nitafute mke kama vile anavyotafuta funguo, simu au fedha aliyopoteza. Haipo hiyo. . Mwanaume siku zote...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
MAJUKUMU YA MKE JUKUMU KUBWA LA MKE NI KUMPA UTULIVU MUME... YAANI KUMTULIZA MUME KUTOKANA NA YALE MAMBO AMBAYO YALIKUWA YAKIMSHUGHULISHA... MKE NI UTULIVU WA MUME MKE NI STAREHE YA MUME MKE NI...
2 Reactions
23 Replies
9K Views
Tuna miaka michache sana ya kuishi hapa duniani. Je, kwa uchache huo unategemea kufanya kitu gani kama ukumbusho au alama ya uwepo wako hapa duniani?
2 Reactions
19 Replies
2K Views
[SIZE=3]Nahitaji kujua kuwa kuna madhara ya kufanya mapenzi na mwanadada mnaofanya kazi ofisi moja.
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Vashko Sande amemuoa mama wa mke wake aliyekuwa mapenzini nae kwa siri kwa muda wa miaka saba ==== tumfweko.com Man Marries His Mother In-Law As Second Wife...
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Sisahau huyu dada alikuwa mwanachuo IFM. kipindi hicho anakaa kwa wazazi Mago Men. Basi tukaunga undugu.siku hiyo amemaliza mitihani tunaenda Bwagamoyo siku ya Ijumaa. Tukiwa tunatoka Posta...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Last month niliattend sherehe flani ya one of my best friend.Kwa bahati mbaya au nzuri nikakutana na kabinti flani very young age kama 19 hivi.It Was just a coincidence issue i wasnt expecting...
0 Reactions
87 Replies
13K Views
Mkeo anarudi nyumbani kavimba vibaya usoni, unamuuliza anakujibu kuwa kakutana na vibaka wamemvamia na kumpiga, lakini ukimcheki kwa makini unakuta kila kitu chake amerudi nacho na kiko salama...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Mods naomba muuache ujumbe huu uwafikie wana MMU wengi. Limeibuka kundi la watu wengi humu ndani wamenipachika jina la 7800/= na wengine wengine wananiita "BAHARIA WA 7800/=" Ndugu zangu mimi...
14 Reactions
63 Replies
6K Views
Wanajukwaa hope mko fine, nitaenda direct kwa topic. Wanaume wengi wamekuwa wakichochea kauli mbaya na za kukatisha tamaa sisi tunaosomesha, nasema mshindwe kwa jina la Yesu. Kama wewe...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
__ BIKRA YANGU __ ____ Sehemu ya Kwanza __ [emoji117] Tunaanza Jina langu naitwa LIDYA nina miaka 17 ni mtoto wa mwisho wa kike katika familia ya mzee MUSSA, baba yangu ni HAKIMU na mama yangu...
3 Reactions
29 Replies
14K Views
Ni usiku wa manane, Diamond yupo chumbani kwake, alikuwa amechoka, usingizi haumpati kwa sababu anaifikiria safari yake atakayoianza kesho kuelekea kwenye matamasha yake nchini Marekani. Kichwani...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Yaani nikipanga kukutana na mwanamke tu, basi either nitaumwa au kutatokea dharura itakayonitaka nitoe hela hadi niliyopanga kwa kutumia maeneo. Mara nyingi nimekuwa nikicancel appointment hadi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam.... Kwa muda wa takribani miaka minne nimekua ktk mahusiano na mrembo mmoja ambae kwa sasa anasoma chuo kimoja dodoma na mimi nikiwa kanda ya ziwa Tulikutana masomoni tukafahamiana...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Nimekaa na kuwaza sana baada ya kuangalia ile clip ya Rwakatare kuhusu ule upepo sijui unaitwaje nimeusahau na jina. Sasa nikajiuliza, hawa viumbe mbona wakija humu ndani kututafuta wanaleta...
32 Reactions
251 Replies
20K Views
Kuna umri unafika unabadilika kabisa, yaani siamini ndio mimi huyu ama? Nasafiri niko kwenye bus, nimekaa na katoto kazuri balaa, na kanarespond vizuri sana. Tumeshuka kupata msosi kapo na mim...
10 Reactions
89 Replies
8K Views
Wanasema baraka zikifunguliwa humiminika kwa pamoja ila najiuliza kwa hili tuite nazo ni baraka ama mtego! Wiki iliyopita nimepokea appointment ya kutembelewa wasichana watatu tofauti ambao...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa, Hakika jana haikuwa siku nzuri kwangu,kama mnavojua nilishasema kwamba nina watoto watatu wa mama tofauti, kuna Travis, Sean na Moureen. Sasa iko hivi, ni kwa muda mrefu...
7 Reactions
197 Replies
24K Views
Habari zenye wadau, niende moja kwa moja katika kisa changu. Jana nikiwa nafanya mazoezi home mara simu ikaita kwa namba ngeni. Ikabidi nipokee nikamweleza nipo katika mazoezi. Dadika mbili...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, jpili imeendaje? najua iko poa sana, japo mambo taiti lakini tukomaeni ndugu tutatoboa tuu. twende kwenye point sasa, mwezi wa kumi huu nilikua nina ratiba zangu za kuwahi VETA...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom