Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kumhonga demu kabla hujakupa papuchi ni sawa na demu kukupa papuchi kabla hujamuoa kweli so kweli?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kichwa hapo juu kigumu kidogo kueleweka lakini utakielewa tu. Ipo hivi, wanawake wa kileo kabla ya ndoa huwa na hamu sana ya kuolewa ila hushindwa kutambua vitu muhimu anavyotakiwa azingatie...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Walio serious kutafuta ndoa/wenza sahihi wanakutana na magumegume but players ndiyo wanapata watu sahihi na kuishia kuwaumiza bure. Wakuu, kifanyike nini ili mambo yaende sawia kila mtu akutane...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
🙆 kuna mtu nampenda penda jomoni mie Natamani awe wangu wamaisha mume wangu awe baba ya wtoto wangu Yuko humu jf 🤔 we jua tyuu nakupenda penda sana Nimekufa nimeoza mie kwako 😫 niambie basi kama...
14 Reactions
186 Replies
14K Views
Wakuu Kichwa cha habari chahusika. Nimegundua hili baada ya kubatiza mtoto ila mtoto nafanana naye ni wangu. Tatizo hili jina linaniuma sana...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Habari wana Jf. Mimi ni msichana umri kati ya Miaka 23hadi25 nilibahatika kupata kijana ambaye tulipendana tukawa kwenye mahusiano takribani Miaka miwili hatimaye Mwaka jana December tulifunga...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Mimi kijana miaka 26 Natafuta mchumba miaka 22 - 28 Awe mkazi dar es salaam If interested come inbox
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Takwimu zinasema kwamba Jiji la Dar es salaam linaongoza kwa tatizo la erectile problems. Hivyo badala ya Mkuu wao wa mkoa kuhangaika na na matatizo ya wanawake kukosa ndoa angeshughulikia hili la...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna siku nilihudhuria event moja hivii, tukawa tunahudumiwa na warembo kama watano hivi na walikuwa wamejipamba vizuri kweli; kutokana na kazi ya macho nikuona nikajikuta nawatazama tu, na moyo...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wanabodi. Kwa muda nimekuwa msomaji tu wa posts katika majukwaa mbalimbali humu ndani. Leo nimeona nami niwasilishe mada ama dukuduku langu yamkini naweza pata mtu au watu wa kunishauri...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Husika na heading, nahitaji mwanamke (fiance) anayejielewa vyema kuanzia umri wa miaka 22 , elimu sio kigezo sana, kuanzia form 4 akiwa anajua hesabu kiasi itakuwa vyema. Usiwe mfupi, maana...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa na uhusiano wa pembeni wa hapa na pale, kwa ajili ya kupooza injini pale inapopata moto. Mbaya zaidi hawa warembo wangu wamekuwa na tabia ya kunijulia hali hata kama ni usiku wa manane...
1 Reactions
106 Replies
7K Views
Asikwambie MTU..ukimrekebishia mwanamke matatizo yake..akashukuru..huwa najisikia raha Sana..Kama nikimlipia kodi..gas, Ama kweli.. Kuhonga rahaa
5 Reactions
89 Replies
7K Views
Tumezoea kesi nyingi za wanawake wananyanyaswa kingono na wanaume, lakini tunafumbia macho upande wa pili wa shilingi, wanaume pia hunyanyaswa kingono na wanawake, cha kusikitisha wanaume hawasemi...
7 Reactions
137 Replies
11K Views
1.ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!! 2. UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana . Anakuchukia, lakini baadaye...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Mapenzi yanahitaji uvumilivu mkubwa sana,haimaanishi hawa wanaotalakiana,wanaouana n.k kuwa mwanzoni hawakupendana sana. Suluhu pekee kwa mtu aliyekomaa kimahusiano........ Unavyoingia katika...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Hakuna mwanaume aliye single ambaye kila siku akitoka nyumbani kwake anajisemea ngoja nitafute mke kama vile anavyotafuta funguo, simu au fedha aliyopoteza. Haipo hiyo. . Mwanaume siku zote...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
MAJUKUMU YA MKE JUKUMU KUBWA LA MKE NI KUMPA UTULIVU MUME... YAANI KUMTULIZA MUME KUTOKANA NA YALE MAMBO AMBAYO YALIKUWA YAKIMSHUGHULISHA... MKE NI UTULIVU WA MUME MKE NI STAREHE YA MUME MKE NI...
2 Reactions
23 Replies
9K Views
Tuna miaka michache sana ya kuishi hapa duniani. Je, kwa uchache huo unategemea kufanya kitu gani kama ukumbusho au alama ya uwepo wako hapa duniani?
2 Reactions
19 Replies
2K Views
[SIZE=3]Nahitaji kujua kuwa kuna madhara ya kufanya mapenzi na mwanadada mnaofanya kazi ofisi moja.
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Back
Top Bottom