Usiende picnic kama huna mwenza, nimeteseka usiku kucha

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,398
Toka jana nipo Bwagamoyo.nashukuru kila kitu kilikuwepo kasoro kitu kimoja tu.mimi kiuhalisia nimekuwa nikichagua sana wanawake.napenda mwanamke mzuri wa sura na shape pia.lakini asiwe mpenda pesa kwangu.nlishasema lengo la mimi ku enjoy maisha si kuvutia wanawake.

Ndo maana nasema kabisa nahitaji mwanamke ambaye ataanza kunikubali mimi kwanza then na nilivyo navyo.so siwezi date mwanamke kilaza au fool.siku zote husema upumbavu huambukiza.sitaki maambukizo.

Jana nikawa nipo tu man alone.wakati wa kwenda nilienda na jamaa yangu kunipa kampani kwenye gari.mnakumbuka niliwaambia navita GMC? nlienda nayo lay down your heart.

Tulikula na kunywa...na mimi ni mpenzi sana wa mchemsho au supu ya samaki na veggie. Nlitengenezewa hiyo nikawa napata na kinywaji flani.huku wenzangu wakiendelea na XXX CHOMA.yaani Kila Kitu Choma. Nyama Choma.Samaki Choma.Kuku Choma n.k

Saa saba usiku nikaenda kulala.Sikuweza kulala. Nikiwa kitandani nanii ilisimama ile mbaya....mpaka ikawa inauma utadhani labda mtu amekunywa dawa.

Nliona mishipa ikiwa imesimama kabisa kuzunguka sehemu yangu ya uume. Imevimba mpaka kukaribia kupasuka.nliamua enda oga mara kadhaa pasipo msaada.

Nimeteseka sana usiku wa jana.wenzangu wao naamini hawakupata shida kama hizo maana walibeba watu wao.nimejifunza jambo kubwa sana. Kama si mtu wa kuokota okota wasichana au wanaume. Ukienda picnic kaka au dada go with someone.

Tunarejea Dar leo hii na msafara wetu wa magari 7. Kama kawaida tutakapokutana na Traffic tutawapa pongezi kwa kazi ngumu wanayofanya.

Wakati wewe upo busy kufanya majungu sisi tupo busy ku enjoy maisha. Tutafuteni pesa namna ya kuzitumia ipo nyingi sana.
 
Aisee ndugu yangu hii style yako ya kutafutia mademu is not working nowadays, imefika kipindi mpaka hata mademu wa humu wanakuchkulia poa.

Mbona Sisi hatuna kitu lakini mambo yanakwenda mzee. Badilisha gear bro nakushauri.

Anyway Jana ulivyopiga nyeto ulitumia sabuni au mafuta??
 
Saa saba usiku nikaenda kulala.Sikuweza kulala. Nikiwa kitandani nanii ilisimama ile mbaya....mpaka ikawa inauma utadhani labda mtu amekunywa dawa.

Nliona mishipa ikiwa imesimama kabisa kuzunguka sehemu yangu ya uume. Imevimba mpaka kukaribia kupasuka.nliamua enda oga mara kadhaa pasipo msaada.

Ungeonesha hiyo nanii yako pesa, pengine ingetulia.
Pesa si ni kila kitu?
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom