Tujifunze kuheshimu hisia za watu wengine

Deva

JF-Expert Member
May 29, 2018
1,238
1,801
Za mida hii wakuu

Ukimuona fulani labda ukampenda na ukamueleza ila ukaona anakuchenga chenga, na haeleweki, huyo achana naye usiendelee kumtafuta zaidi mtu ambaye ni sahihi kwako hawezi kukukwepa kwepa, kuendelea kukandamizia inakuwa ni kama kulazimisha ukubaliwe, wakati mhusika hajisikii kuwa na wewe.

Mtu ukipigia simu siku ya kwanza na ya pili, halafu hajakutafuta, achana naye kama aliona missed calls na hajakutafuta jua kwamba hajakuona wa muhimu, achana naye usilazimishe...

Hii ni sababu inatengeneza kero kwa mtu ambaye amekuonesha dalili ila umeshindwa kuzisoma...

Uzi tayari
 
mimi huwa najipa lilizo miezi mi 3 nikirudi bado haeleweki nafuta #

ila mara nyingi wengi nikirudi wanakuwa na adabu na akieleweka amekwisha. inaanza kuwa zamu yake kunitafuta
 
Kauli Mbiu Yangu Ni Kwamba "Hakuna Mwanamke Anae mkataa Mwanaume Milele" Binafsi Inanipa Nguvu Ya Kuforce Game. Yani Demu Akinikataa Utotoni Sikati Tamaa Nikiamini Hata Uzeeni Atanikubali Tu, Labda Tupoteane Au Mmoja Kati Yetu Atangulie Mbele Ya Haki.

Ni Heri Kukatika Miguu Kuliko Kukata Tamaa Hivyo Tu!!.
 
Za mida hii wakuu

Ukimuona fulani labda ukampenda na ukamueleza ila ukaona anakuchenga chenga, na haeleweki, huyo achana naye usiendelee kumtafuta zaidi mtu ambaye ni sahihi kwako hawezi kukukwepa kwepa, kuendelea kukandamizia inakuwa ni kama kulazimisha ukubaliwe, wakati mhusika hajisikii kuwa na wewe.

Mtu ukipigia simu siku ya kwanza na ya pili, halafu hajakutafuta, achana naye kama aliona missed calls na hajakutafuta jua kwamba hajakuona wa muhimu, achana naye usilazimishe...

Hii ni sababu inatengeneza kero kwa mtu ambaye amekuonesha dalili ila umeshindwa kuzisoma...

Uzi tayari
Usitufundishe uzembe papuchi zingine hadi u force king
 
Dah haya mambo.. Niliwahi tongoza kama miaka miwili, nikaja kukubaliwa na nikaachwa ndani ya siku chache nikiwa hata papuchi sijala...

Ila hamna upumbavu ninaoujitiaga kama ule maana nilikuwa king'ang'anizi sana asikwambie mtu.

Lakini mwisho wa siku hali duni ndo ilikuwa sababu, saiz demu akileta habari nyeusi hata siwazi mara mbili naachana naye..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom