Kila nikipenda mimi ni majanga

Kila nikipenda mimi ni majanga

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,631
Reaction score
38,749
Wazee baba na wazee mama mambo vipi..

Sijui hata niliweke vipi hili janga lakini mimi kila nikipenda ni majanga mazee,

Shida sijajua ni nini kati ya wivu au gubu lakini upendo kwangu ni mtihani mkubwa mnoo...

Uzi tayari
 
Wewe ukipenda ni majanga...(hujaweka nyama zaidi ni majanga gani)

Hujajua shida ni wivu au gubu....(Anyway pamoja kuwa hujaweka ni majanga gani, ila chanzo kitakuwa ni kati ya vitu hivi viwili umetaja)

Basi hakikisha unapunguza wivu na gubu la sivyo upendo kwako utaendelea kuwa mtihani kama ulivyotamatisha

Wazee baba na wazee mama mambo vipi..

Sijui hata niliweke vipi hili janga lakini mimi kila nikipenda ni majanga mazee,

Shida sijajua ni nini kati ya wivu au gubu lakini upendo kwangu ni mtihani mkubwa mnoo...

Uzi tayari
 
Furaha ipo kwenye gambe mzeebaba...huko kwingine ni shidaa tupu
Mi hapa ntakuwa msomaji tu

Pombe naipenda ila sometimes inaniletea majanga lakini sichoki kuipenda naivumilia napambana na changamoto zake

USICHOKE KUTAFUTA FURAHA YAKO CHANGAMOTO NDOGONDOGO ZISIKUYUMBISHE
 
Wazee baba na wazee mama mambo vipi..

Sijui hata niliweke vipi hili janga lakini mimi kila nikipenda ni majanga mazee,

Shida sijajua ni nini kati ya wivu au gubu lakini upendo kwangu ni mtihani mkubwa mnoo...

Uzi tayari
mzee sio wewkuna dada mmoja hapa alikuja na matmbo kweli ya kukusifia mpaka watu wakawa wanawatakia maisha mema???
 
Back
Top Bottom