Sio kila mwanamke ndoto yake itatimia

Sio kila mwanamke ndoto yake itatimia

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,040
Reaction score
13,373
Punjani wafyetu

Wanawake wetu ni chombo cha starehe kwa sisi wanaume, mwanaume ambae upo chama cha CHAPUTA acha uo upuuzi mara moja, changamkia wanawake usiogope alivyo alie katika ndoa achana nae.


Wanawake wamekua na ndoto moja kubwa ambayo wengi wao hudhani itatimia kwa namna moja ama ingine sio wote watabahatika kuolewa,ila kuzalishwa ni lazima, kwahiyo usiwekeze nguvu nyingi kukazania ndoa wakati uyo unaemtegemea hana mpango kabisa.

Kamwe usimuulize maswali ya kijinga mwanaume wako eti utanioa, unanipotezea muda au,nayafananayo, mwanamke unatakiwa umfanye uyo kishankupe chako apate sababu ya kukuoa au apate hamu ya kukuoa sio kwa kutumia ndumba

Jitahidi kuwa mnyenyekevu,mchakarikaji kila nyanja hasa kitandani,kujishughulisha na ujasiriamali n.k,

Watakao bahatika ndo ao na watakaobaki hao ni wakusuuzia rungu tu na si tofauti na hapo

Nawapenda wote

#mtaalam wa mavi
 
Daaaa njia ngumu hii, kama njia ya kwenda mbinguni, wakati lishetani lipo limepewa ruksa yakukukwamisha.
 
Wakuu mimi naona tuendelea kujadili hili swala, wao watafanya kutizama mawazo yetu.
Najua wengi watapita tu kimya huu uzi utawatia kinyaa
Wanawake wa siku hizi kama Ugoro, Ukila lazima Usizi.....

Yaani wanakuuzia Godoro, alafu wanakunyima Usingizi...
Mm nawapenda wanawake wote ila wao hawanipendi
 
Mwanamke wangu sio chombo cha starehe
Kataa ukubali,kama mshauri hata google inakila kitu ,hawezi kukushauri kila kitu maana si mchumi au docta,zaidi anakupa mhemko tu kutokana na kukupa starehe mhemko uo ndo unachochea nguvu,kutafuta,na kufurahi
 
Back
Top Bottom