Habari zenu wakuu, jpili imeendaje? najua iko poa sana, japo mambo taiti lakini tukomaeni ndugu tutatoboa tuu.
twende kwenye point sasa, mwezi wa kumi huu nilikua nina ratiba zangu za kuwahi VETA...
Ukweli ni kwamba kama wewe ni mwanaume ukicheza mechi 15 kuna mbili unaweza kukuta unarudi nyuma kuzuia mashambulizi,na zingine za ushindi na nyingine Droo hali ndio ipo hivyo!,Japo watakuja...
Tendo la ndoa ni kitendo cha kujamiana kati ya Mwanaume na Mwanamke . Aidha , Wataalamu kadhaa wamegundua kuwa tendo la ndoa aka kugegedana ni Raha nambari moja na kuu kuliko zote kwa bianadamu...
Hili nmeona nilizungumze baada ya jamaa mmoja kulizungumza kwa uchungu mkubwa sana. Naandika kama alivyoliwasilisha kwangu na katika moja ya comments zake humu JF.
"Kusema ukweli moja ya watu...
Kwa jina naitwa pol kjna wa miaka 24 ni muhitim wa chuo kikuu.,kitu kilichonivuta niandike katka thread hii ni uitaj wa mschana mwny mapnz thabt ,kuna msemo usemao "every successful man there is...
Wanawake mara nyingi husamehe kama mwanaume amecheat halafu wanaweza kuendelea na mahusiano na huyo mwanaume aliyemcheat kama kawaida bila tatizo.
Husamehe kutoka moyoni. Lakini tofauti na...
Wadau ukimya umenishinda, leo ni siku ya saba tunakutana lakini nimeshindwa kutoboa nyavu.
Mwenye ujuzi naomba ajitokeze anisaidie maana binti mwenyewe anabana miguu kwa nguvu mpaka nashindwa...
Iwafikie wanawake wote wapenda fedha, wasio wavumilivu katika mahusiano na wanaume wao wenye kipato kidogo. If i don't get today, i go get tomorrow please wait me, its a matter of a time.
Rude...
Poleni na majukumu wana JF!
Naombeni msaada wa ushauri.
Iko hivi, mimi ni mwanamke ni mkristo ninafanya kazi katika kampuni moja. Kuna mwanaume mmoja ambaye ni mume wa mtu imani yake inaruhusu...
Daah huyu mdada mpaka sahivi sijamwelewa, like nlikutana nae nikachukua namba. Fresh nikaanza kumtongoza akaonekana kunikubalia, like kila saa alikuwa anani-text kwa siku 4 mfululizo. Siku ya 5...
Kuna mdada mmoja kwenye group discussion ya chuo alituelezea jinsi alivyotongozwa na mwanaume.
Mwanaume alikuwa anamuhonga huyo mdada hela na vichips halafu huyo mdada akija kutupigia story...
Habari wana jukwaa poleni na majukumu ya kazi.
Leo napenda niongee na wana jukwaa hili kutokana na kisa kilichotokea wiki moja na nusu iliyopita maeneo ya Magole kwa mpemba msafi.
Kuna jirani...
Ukitaka kujua umuhimu wa kuwa na mpenzi ni hii baridi ikuchape....utajitahidi kunywa kahawa baridi haitoki! utajitahidi kuvaa makoti,hisia zinakuja!Kutokana na hali hiyo,nyumbani hapakaliki...nipo...
Mamboz. Natafuta rafik wakike wa kubadilishana nae nawazo, life sharing experience in defferent stuffs n others. AGE kunzia 18
Miak yangu ni 26. If ur intrested my pm ipo wazi.
Habarini tena waungwana. Poleni na majukumu ya siku nzima, ok niende moja kwa moja.
Samahanini kwakuwa ni ndefu kidogo kama ntawachosha.
Nina ndugu yangu ambaye ni mtoto wa baba mdogo...
1. Kusomesha mchumba
2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.
3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.
4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako.
5...
Hivi umewahi kujiuliza mbona jamii iko negative na watu wazima wasiokuwa na watoto?
Unakuta mtu kachelewa kuoa/kuolewa hafu wananzengo wanamuona kama sio wa kawaida flani hivi . Wakati mwingine...
Habari za weekend..
Eti inasemekana kwamba mwanamke akimpenda mwanaume kwa dhati huwa hamuombi hela...
Sasa wanume tuelewane kuwa wanaoomba hela ni wa kula na kusepa tu.... Hawatupendi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.