Kwanini wanaume wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja na wakati huo huo wanawake hawaruhusiwi kuolewa na mume zaidi ya mmoja?

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Hivi kwanini wanaume wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja na wakati huo huo wanawake hawaruhusiwi kuolewa na mume zaidi ya mmoja?

Hivi hapa wataalamu wa mambo walizingatia kigezo gani juu ya mwanamke na mwanaume?

Uzi umeishia hapo.
 
Ke wana kazi kubwa ya kimaumbile kuanzia kwenye tendo,kubeba ujauzito,kujifungua,kulea n.k..Kwa hiyo yeye kuwa na me wengi ni kujichosha,lazima akongoroke.
Mkuu kuna watu wanadanga kwa siku hata wanaume 20 na hawachoki. Tafuta hoja nyingine.
 
Mwanamke anaweza kustarehe na wanaume wengi lakini hawezi kuisho nao kama mume na mke kwa sababu mwanamke anaweza kuzaa kwa maana ya kubeba mimba ndomana vitabu vimehalalisha mwanamme mmoja kwa mwanamke na sio wanaume wawili kwa mwanamke mmoja hii yote ni kwasabu ya kwamba ikitokea kapata mimba yule mtoto aliekua tumboni awe na baba halali sio kuhisi hisi sijui baba atakua nani..kuepusha ugomvi ndo point
 
Wewe ni Me au Ke?
Hivi kwanini wanaume wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja na wakati huo huo wanawake hawaruhusiwi kuolewa na mume zaidi ya mmoja?

Hivi hapa wataalamu wa mambo walizingatia kigezo gani juu ya mwanamke na mwanaume?

Uzi umeishia hapo.
 
Mwanamke anaweza kustarehe na wanaume wengi lakini hawezi kuisho nao kama mume na mke kwa sababu mwanamke anaweza kuzaa kwa maana ya kubeba mimba ndomana vitabu vimehalalisha mwanamme mmoja kwa mwanamke na sio wanaume wawili kwa mwanamke mmoja hii yote ni kwasabu ya kwamba ikitokea kapata mimba yule mtoto aliekua tumboni awe na baba halali sio kuhisi hisi sijui baba atakua nani..kuepusha ugomvi ndo point
Kweli kabisa Dada.umeongea hoja sahihi.
 
Kuloweka Humo Ndani Ndiyo Kunatupa Raha/Tabu Hapa Duniani 😀😁😂😃😄😅
 
Si utaalam Wa mambo.....Kiislam hii ni Dini?Misingi ya Dini....na pia kuna Criteria ambazo mwanaume unatakiwa uwe Nazo
 
Back
Top Bottom