Nakwenda kupima DNA niombeeni

Me370

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
985
293
Ipo hivi,
Nlikuwa na mpenzi ambaye tuliachana muda. Mahusiano yetu yalibaki kuwa ni sex tu tena mara moja moja sana.

Binti akapata ujauzito ambao yeye alinambia mimi sio mhusika.

Juzi Kati hapa kajifungua mtoto wa kiume ambaye kwa anavyoonekna kafanana sana na mama yake.

Tatizo ni kuwa muhusika kamkana mtoto anadai sio wake ni wa mtu anayetumia namba ya simu (akataja namba yangu).

Mzazi kaacha kupewa matumizi ya mtoto kama walivyokubaliana na mshkaji kagoma Kwenda kupima DNA kwa kisingizio hana pesa ila kama akilipiwa yupo tayari.

Sasa kuna hatari ya mtoto kukosa baba na mzazi kukosa matunzo.
Badala ya mimi kumlipia yeye nimeamua nikapime.

Mimi nijitoe kwenye mzozo huu.

Nimeshakutana na jamaa na tumepanga Jumatatu.

Msaada ninaohitaji ni kuwa sijui chochote kuhusu hii test wapi inafanya na itanigharimu kiasi gani.

Mimi najiamini maana mama wa mtoto ananiongoza na kaapa na kudai haiwezekani mtoto akawa wangu. Naombeni mnisaidie kwa maswali hayo hapo juu.
 
Just to add hakuna aliyekwisha oa au kuolewa Kati yeTU.
 
Sasa kama ameshakwambia kua mtoto sio wako wewe unaenda kupima iliiweje? au una wish angekua wako? inaweza kua sio wako wala wa huyo mwenzio mwenye mtoto mwengineeeeeeeeeeeee.....unajishughulisha bure ebu katoe sadaka pesa zako kama huna haja nazo..........
 
Mlishaachana kitambo, umeambiwa wewe sio muhusika sasa kwanini ujione unaulazima wa kupima??
 
kupima si suala la kitoto mpaka uwe na barua ya mahakama na kpmo kiko kwa mkemia mkuu,last week kuna jamaa yangu alifuatilia akapewa majibu hayo
 
Ipo hivi,
Nlikuwa na mpenzi ambaye tuliachana muda. Mahusiano yeTU yalibaki kuwa ni sex TU tena Mara moja moja sana. Binti akapata ujauzito ambao yeye alinambia Mimi sio muhusika.
Juzi Kati hapa kajifungua mtoto wa Kiume ambaye kwa anavyoonekna kafanana sana na mama yake. Tatizo ni kuwa muhusika kamkana mtoto anadai sio wake ni wa mtu anayetumia namba Ya simu (akataja namBa yangu). Mzazi kaacha kupewa matumizi Ya mtoto kama walivyokubaliana na mshkaji kagoma Kwenda kupima DNA kwa kisingizio hana pesa ila kama akilipiwa yupo tayari. Sasa kuna hatari Ya mtoto kukoa baba na mzazi kukosa matunzo.
Badala Ya mimi kumlipia yeye nimeamua nikapime Mimi nijitoe kwenye mzozo huu. Nimeshakutana na jamaa na tumepanga jumaatatu.
Msaada ninaohitaji ni kuwq sijui chochote kuhusu hii test wapi inafany na itanigharimu kiasi gani. Mi najiamini maana mama Wa mtoto ananiongoza na kaapa ma kudai haiwezekani mtoto akawa wangu. Naombeni mnisaidie kwa maswali hayo hapo juu.

Anayemjua baba wa mtoto ni mama, keshamtaja muhusika tayari, sasa nakushangaa!! Maneno ya mwananume mwenzio ndiyo unaogopa?? Alikusaidia kumshikia paja siku unamtia mimba kwamba yeye ndiye anajua baba wa mtoto?? Hiyo hela kama huna kazi nayo peleka kwa watoto yatima watakushukuru sana
 
kipimo ni laki tatu tu lakini hata interview ya kazi ina nafuu! Na majibu ni kwa mkemia mkuu na yanachukuwa muda!
 
Kila la kheri lakini usichoshwe na mlolongo na urasimu wa mchakato huo...
 
Ipo hivi,
Nlikuwa na mpenzi ambaye tuliachana muda. Mahusiano yeTU yalibaki kuwa ni sex TU tena Mara moja moja sana. Binti akapata ujauzito ambao yeye alinambia Mimi sio muhusika.
Juzi Kati hapa kajifungua mtoto wa Kiume ambaye kwa anavyoonekna kafanana sana na mama yake. Tatizo ni kuwa muhusika kamkana mtoto anadai sio wake ni wa mtu anayetumia namba Ya simu (akataja namBa yangu). Mzazi kaacha kupewa matumizi Ya mtoto kama walivyokubaliana na mshkaji kagoma Kwenda kupima DNA kwa kisingizio hana pesa ila kama akilipiwa yupo tayari. Sasa kuna hatari Ya mtoto kukoa baba na mzazi kukosa matunzo.
Badala Ya mimi kumlipia yeye nimeamua nikapime Mimi nijitoe kwenye mzozo huu. Nimeshakutana na jamaa na tumepanga jumaatatu.
Msaada ninaohitaji ni kuwq sijui chochote kuhusu hii test wapi inafany na itanigharimu kiasi gani. Mi najiamini maana mama Wa mtoto ananiongoza na kaapa ma kudai haiwezekani mtoto akawa wangu. Naombeni mnisaidie kwa maswali hayo hapo juu.

Tuongoze tuombe vipi; tuombe Mungu akusaidie usiwe baba wa mtoto au unataka majibu yaje wewe baba? Au unataka tukuombee ufahamu mahali wanakopimia hiyo DNA?
 
......huo utakuwa uzembe; yanini kwenda wakati ushaambiwa mtoto si wako... Endelea kufanya yako, achana naye huyo mwendekeza MICHEPUKO ahangaike na mtoto wake....
 
Huna tofauti na mtu aliyebomoloewa nyumba na sasa unaambiwa ulipie gharama ya kubomolewa. Kama unazo hazina kazi kuna vituo vingi vya watoto yatima katoe huko.
 
Back
Top Bottom