Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hellow bosses kwanza happy Valentine kwa wote mimi kama Ultimate nawakubali sana wana jf leo ikiwa ni siku ya valentine embu tuambie ulikutana wapi na mpenzi wako wa sasa na ilikua lini kama...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu Nnahitaji mwanamke atakae kuwa na mapenzi ya dhati, wasifu wangu >Mrefu wa Wastani >maji ya kunde >Nimejiajiri >Sina nyumba nimepanga room 1 >Nipo DSM >Elimu ya...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Marhaba! As far as head above is concerned! Katika experience yangu Mapenzi nimeshuhudia na kupitia Makundi yote ya mapenzi ambayo ni; Kundi ambalo ni kipenzi cha Wanawake(kila...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Nashangaa sana kusikia eti mavazi fulani ya wanawake huchangia kuongeza maambukizi ya hiv. Hivi wanawake kukaa vibaya au kuvaa vibaya inawahusu nini nyie wanaumewa kiafrika? Mbona wazungu wao sio...
0 Reactions
199 Replies
16K Views
Mimi ni mfanyakazi katika kampuni flani hapa dsm,kuna msichana mmoja alifanya field kwenye kampuni ninapofanyia kazi na ivi sasa anaenda kumalizia chuo mwaka wa tatu na ana miaka 23 nilitokea...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wakati babaake Bryan Jackson alipomdunga sindano ya virusi vya HIV mwanawe mchanga, alitumai kwamba hatamuona akikuwa. Hakuna mtu aliyedhani kwamba miaka 24 baadaye atakabiliana na mwanawe...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakubwa na wadogo nawasalimuni nyote. Nijikite kwenye mada. Nimeona nyuzi zimejitokeza hapa jukwaani kuhusiana na HIV/ AIDS. Tusiwahukumu wala kuwanyanyapaa walioupata!! Ni gonjwa linaloweza...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
binafsi porn kwangu ni darasa la ngono.... imenifanya niwe mtundu zaidi wakati nikichakata papuchi, na nimejizolea sifa nyingi sana kwa niliowachakata... pongezi za dhati ziwaendee waandaj wa porn...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimesex na msichana kama mara 5 hivi lakini ndani ya huo mda kila siku naweza kumpima lakini hataki siku moja usiku akawa anakohoa sana nikawa nina mashaka naye sana nikamuuliza vipi? mbona...
2 Reactions
29 Replies
11K Views
Ewe ndugu acha kujipa moyo kwamba flani hana kwa kumtizama na kuridhika na umbile lake kubwa. ARVs zipo zinafanya watu wanakua vibonge na ngozi zao zinakua nyororo mno! Siku hizi hakuna kukohoa...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
BADO NAKUPENDA SANA:01 "Ni muda sasa umepita, nimejikaza lakini nashindwa kuendelea, ukweli ni kwamba BADO NAKUPENDA SANA, bado Nakupenda Hansy, kuna muda najuta kwanini nilikufahamu, lakini...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Poll Poll
...........ilikuwa ni asubuhi ngumu iliyoongozwa na stress zisizo elezeka, za kuogopesha sana sikuwahi hata siku moja kuamka hivyo, lakini zilikuja kukatwa kwa furaha zisizo na kifani zikiongozwa...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Hello wapendwa JF Watu wengi wanatumia Condoms wakati wa mapenzi ambayo ni sawa, pia watu wengi hufanya mapenzi kwa kunyonyana ambayo kama huna vidonda mdomoni au fizi zako hazina matatizo ya...
0 Reactions
19 Replies
13K Views
MH RAIS KIKWETE alisema majuzi kawe anatamani neti ingekuwa inazuia ukimwi...amesikitika sana kwa jinsi watu wanavyousambaza kwa makusudi akaapa kufa nao sahan moja ...rais kikwete alikuwa katik...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapendwa habarini za leo?? I hope weekend ilikuwa njema. Juzi nilikuwa mahali nikayasikiliza mazungumzo yaliyokuwa yanahusu UKIMWI. Wahusika walikuwa wanazungumzia namna ya kuweza kujikinga na...
0 Reactions
194 Replies
13K Views
Mamia ya akaunti za waigizaji wa filamu za ngono zimetolewa katoka mtandao wa Instagram mwaka huu, huku wengi wakisema watu hao wako katika hadhi tofauti kuliko nyota wa kawaida. Mtandao huo...
2 Reactions
55 Replies
12K Views
You Niggas hopefully mko fit,niende direct kwene mada To be honestly mi kubembeleza siwezi kabisa na hii hali imepelekea some time nashindwa dumu kwene mahusiano na some time nakua single muda...
4 Reactions
72 Replies
8K Views
Heshima kenu wakuu, nimeona nongee hapa labda maumivu yatapungua. nipo kwnye ndoa mwaka wa 8 sasa. ila nimeangukia kwenye penzi na binti wa miaka 20 ambaye ni mfanyakazi wangu wa ndani. msianze...
6 Reactions
125 Replies
20K Views
Nikiwa bado Nina umri chini ya miaka 20, kitaani kwetu kulikuwepo Dada mmoja mrembo wa haja, Mimi na vijana wa rika langu tulikua tukimtamani lakini hakuna alieweza kumtongoza kwasababu ni mkubwa...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…