Ewe mwanamke mwanandoa, jitafakari ubadilike

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Ewe mwanamke, kama mumeo anaingia hadi ndani ya nyumba huku akiwa amebeba mzigo wowote, iwe bahasha, mfuko nk, wakati umemuona na umeshindwa kumpokea, anza kujitathmini upya.

Ewe mwanamke, kama unalala hadi mumeo anaamka asubuhi na kwenda kuoga, anajiandaa kutoka kwenda kazini ukiwa bado umelala, fikiria upya nafasi yako katika ndoa.

Ewe mwanamke, kama mumeo anahitaji tendo la ndoa, unashindwa kumpatia kwa sababu za kutojisikia au kizingizio cha kuumwa, ukitafutiwa msaidizi usilalamike.

Ewe mwanamke, kama unamnyima mumeo haki yake ya tendo la ndoa na kufanya tendo hilo kama sehemu ya adhabu pindi mnapokwazana, siku zako zinahesabika.

Ewe mwanamke, kama hutuoi nafasi ya kumsikiliza mumeo pindi anapozungumza na ukayafanya mazungumzo hayo kuwa sehemu majibishano, anza upya mumeo atachelewa kurudi nyumbani kama atapata wanaomsikiliza huko.

Ewe mwanamke, kama una tabia ya kupuuzia kila unachoambiwa na mumeo ukidhani anachokwambia hamaanishi, tambua inamuumiza ndani kwa ndani na mwisho wa siku atashindwa kutoa nafasi kwako ya kukushirikisha au kukushauri chochote.

Ewe mwanamke, kama unakaa na marafiki zako na kuongea udhaifu wa mumeo ukidhani utapata tiba na ufumbuzi, tambua hao marafiki zako ndio watakao kucheka pindi utakapobaki single mother kwa uvivu wako wa kufikiria.

Ewe mwanamke, kama umeamua kuutoa mwili wako sada kwa mwanaume ambaye si halali yako kwa lengo la kutafuta kufukishwa kileleni au tamaa zako za pesa, tambua kwamba bado hujajitambua, swala la kufikishwa kileleni unatakiwa ukae na mumeo mlizungumze ili kulitafutia ufumbuzi wa kina na sio kwenda kutafuta maradhi nje au mimba za bahati mbaya.

Ewe mwanamke, kama kazi zote za nyumbani unamuachia house girl kwa kudhani kwamba utamlipa mwisho wa mwezi, usishangae siku atakapokuwa mama mwenye nyumba au mke mwenzio.

Ewe mwanamke, kama una tabia ya kuropoka hovyo, kumdharau mumeo, kupenda ligi na mabishano angali bado upo kwenye ndoa yako, tambua kwamba mumeo anakuvumilia tu lakini kichwani mwake anafikiria kuwa huna vigezo vya kuwa wife material, anajuta kwanini alikupa hiyo nafasi ya kuwa mke.
____________________________

Ndoa nyingi zinavunjika si kwasababu wanandoa hawakuwa tayari kuingia kwenye ndoa, la hasha. Ndoa zinavunjika kwakuwa wanandoa wamekosa utashi wa kuvumilia changamoto, subira, hekma na busara katika ndoa zao.

Wanawake wamekuwa wakipuuzia ndoa zao na kuzichukulia kawaida kutokana na akili zao kuongozwa na marafiki zao, mtu anashindwa kutulia kwenye ndoa yake kama jinsi alivyo kuwa akiitamani hapo awali, ghafla anabadilika kwa kushindwa kufikiria vyema au kwa kushikiwa akili.

Kiongozi wa ndoa yako ni wewe mwenyewe. Wewe ndio utaamua kuivunja au kuidumisha ndoa yako.

C/P
 
Unadhani inachangiwa na nini
Wali wangu watarajiwaaa!
Kujeni huku kuna kitchen party yenu.
# Mkuu ukimaliza tupia na uzi wa "Ewe mwanaume..." maana mwanamke aweza afanye yote hayo ndoa bado ikasambaratika. Its takes two...
 
Ni kweli kabisa lakini usababishwaji wa maumivu ndani ya nafsi ya mwanamke unasbabishwa na huyo anaitwa kichwa cha nyumba kutojua nafasi yake pia ukweli ni 50 50 watu kutosimama katika nafasi zao matokeo yake mizani hulalia mtu mmoja ndo

Mtoa mada umeongea kweli sana lakini ungekuwa vyema sana kama ungeshughulika na chanzo cha haya matatizo je kuna upande unatakiwa kujitathmini pia? hata mtoto anapofeli dawa sio kumsimanga anapofeli dawa ni kushughulika na chanzo cha mtoto kuwa hivyo na huo ndio upendo sio kuhukumu.
 
Beautiful message by the way..hii zaidi iko kwa wenye ndoa kwa sisi senior bachelor haituhusu sana..ila point taken
 
Back
Top Bottom