Nawasalimu wakuu wote.
Leo mchana wakati nipo kwenye daladala, nikawa nawaza kimya kimya.
Kwanini utasikia Mwanamke ameenda kwa Mganga ili kumuwekea mume au mpenzi wake manjonjo asitoke kando...
Mimi ni muajiriwa lkn pia ni mfanyakazi wa kampuni kubwa hapa tz umri 33
Nimeoa na nina watoto 2 sasa dini yangu ina niruhusu kuwa na wake 4 sasa 1 niliyenae naona hanitoshi na kipato changu...
Inakuaje unalala na mwanamke kwenye kuchi kuchi hatoi sauti yeyote ya kilio cha mahaba sura kavu ka beberu la Vingunguti. Lia kidogo basi kumbukia basi hata msiba uliowahi kukuliza ili ulete...
Nipo hapa hotelini,chumba cha jirani wanapigana mashine huku wanapiga mayowe mpaka wananiaribia mudi ya kuandaa kazi ya kupresent kesho.Sijui na mimi nitoke nje nikatafute wangu ili nilipize...
Kutoka kwa Sheikh Ahmed Kandauma
Kila sifa njema anastahili Mola wa ulimwengu huu ambaye ni Allah Subhannahu Wataalah, na rehema na amani ziwe juu yake Mtume Muhammad (S.A.W).
Tunamshukuru Allah...
Nipende kutambua yakuwa uvumbuzi na utanuzi wa teknolojia umekuwa msaada sana hususani katika swala la kimawasiliano .Miaka ya nyuma nakumbuka ilikuwa mbinde sana kumchomoa mtoto wakike kutoka...
Popote alipo hivi sasa Mbunge Halima Mdee naomba atambue kuwa kuelekea Kuumaliza huu mwaka wa 2019 basi amekuwa ni ‘ Shujaa ‘ wangu hasa kwa Majibu yake Kuntu / Mujarab kabisa aliyoyatoa kwa...
Nikimuuliza kitu anaweza akanijibu kama vile yupo na boyfriend wake. Mama yake nikimuuliza kulikoni anasema nae hajui lolote anashangaa amebadilika gafla.
Nadhani huyu binti ameshaanza kudukuliwa...
Wakuu ninze kwa kuwasabahi nyote na matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nipende kujielekeza kwenye maada moja kwa moja.Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana kuwa hivi nini chanzo cha kutoweka kwa...
Kwa wataalam wa haya mambo asee kuna lidem limenisumbua mda mrefu sana na limekula pesa nyingi aisee...sasa nilipoanza kufulia limeanza kuonesha dalili za kutaka kuruka...sasa namim ninataka...
Join our library to get free books
The Christian International Library.
Kindly tap the link below to join.
https://chat.whatsapp.com/FHiDZe9hN2SIlO9hZ42l3h
Jamani nyie wadada mbona mnakuwa hivi..
Stories ipo hvi, kuna mrembo mmoja nilimtongoza na siku hyohyo akaashiria kukubali..
Penzi likaanza na My kwenye simu yangu kutoka kwake zikawa hazikauki...
Wasaidizi wanaoogopeka zaidi na wenye sifa mbaya ndani ya majumba yetu ni wale wa kike. Wengi husingiziwa umalaya. Wengine uchawi na ushirikina. Wezi wa waume za watu (baba wenye Nyumba). Wizi wa...
Hope mko poa
Wadau nilikua na mwanamke mmoja hivi nadhani hapa nilishaleta Uzi kuwa simpendi hata kidogo na nimezaa nae mtoto wa kiume ..
Sasa kipindi cha nyuma kidogo nilimpost mwanamke wangu...
WanaJF,
Siyo siri leo nimestaajabu mapya kabisa katika mapenzi. Ilikuwa hivi:
Kuna 'pisi' moja niliitongoza ikanambia itanijibu nivumilie. Sasa kuna siku aliniambia hana pesa ya msosi, mimi...
Habari zenu wadau humu. Nina rafiki yangu ambaye alinifuata akiwa na masikitiko kwa yaliyomtokea baada ya kucheza rafu katika mambo Yale ya burudani ya watu wawili wa jinsia...
Ikiwa Leo ni siku ya Mama duniani, kila mmoja wetu angelipenda kumshukuru na kumjalia kheri mama yake mzazi/ mlezi katika mengi aliyomtendea kwa upendo usiokwisha. Wengine pia huwaombea tulizo la...
Hii tabia ya kuweka ndimu kwenye papuchi mnatufanya tupate tabu sana mabaharia kila ukitaka kuzama pangoni mlango unakuwa mgumu balaa!,yaani zaidi ya dakika 10 kila ukijaribu kupenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.