Kwekitui
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 1,071
- 1,090
#Kabila la Hamer linalopatikana kusini mwa nchi ya Ethiopia ndilo kabila linalosifika kudumisha "uvumilivu" ndani ya ndoa! Inasemekana mwanaume kabla hajatoa mahali inabidi ampime mwanamke anayetaka kumuoa kama atakuwa na uvumilivu wa shida na raha katika ndoa!
Kipimo hicho ni kwamba mwanamke anatakiwa mwenyewe atafute fimbo nzuri na kumkabidhi mwanaume, na hapo mwanaume anatakiwa amcharaze fimbo za kutosha mwanamke huyo na hatotakiwa kuonyesha ishara yeyote ya maumivu wala kulia na akifanikiwa kwa hilo basi mwanamke huyo atakuwa na sifa ya uvumilivu na mahali kubwa itatolewa kwake!