Huyu dada nashangaa hii confidence kaipata wapi?

scientificall

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
454
314
Kama kichwa cha habari hapo juu nipo safarini ni mwendo mrefu kweli inmekaa seat moja na binti mmoja mzuri kiwastani sasa tumekuwa tunapiga story za hapa na pale mara akaanza kusinzia nami nkaona isiwe shida mbona anaangaika mara kwenye bamz anastuka nkamwambia emu lala hapa mapajani kwa kwangu

Ameanza kwa kunionea huruma mara ooh mm kichwa changu kizito ila baadae naona kashuka mwenyewe.

Tulivyofika mkoa flani hivi stend akaamuka nkajua hatolala tena.

Mara paa naona ananilalia tena mwenyewe tena kaweka na sweta kabisa namsikilizia anaota. Mwanzoni nilihisi net work inaweza kuanza serch lakini naona nme reluxy.

Hapa nafikiria tukishuka kula nimnulie na msosi tukifka tu mwisho wa safari nchukue na namba.

Ni kwa nia njema tyu wadau haijawahi nikuta hii.
 
Unauliza nn tena mkuu wakati ulimwambia mwenyewe alale!!

Au unaomba ushauri wa kumnunulia chakula? Kiroho safi fanya yaliyo ndani ya uwezo wako kama huo wa kumlaza
 
Kama kichwa cha habari hapo juu nipo safarini ni mwendo mrefu kweli inmekaa seat moja na binti mmoja mzuri kiwastani sasa tumekuwa tunapiga story za hapa na pale mara akaanza kusinzia nami nkaona isiwe shida mbona anaangaika mara kwenye bamz anastuka nkamwambia emu lala hapa mapajani kwa kwangu

Ameanza kwa kunionea huruma mara ooh mm kichwa changu kizito ila baadae naona kashuka mwenyewe.

Tulivyofika mkoa flani hivi stend akaamuka nkajua hatolala tena.

Mara paa naona ananilalia tena mwenyewe tena kaweka na sweta kabisa namsikilizia anaota. Mwanzoni nilihisi net work inaweza kuanza serch lakini naona nme reluxy.

Hapa nafikiria tukishuka kula nimnulie na msosi tukifka tu mwisho wa safari nchukue na namba.

Ni kwa nia njema tyu wadau haijawahi nikuta hii.
Balehe inakusumbua
 
Back
Top Bottom